Ubunge uwe utumishi wa umma,mshahara 957,000/ kama daktari anayeanza kuanzia 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubunge uwe utumishi wa umma,mshahara 957,000/ kama daktari anayeanza kuanzia 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by vimon, Feb 3, 2012.

 1. vimon

  vimon Senior Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kutokana na wabunge kupenda posho na marupurupu mazuri na ubunge kuwa juu ya
  Engineer
  Daktari
  Mwalimu
  Mhasibu
  Nesi
  Secretary
  Napendekeza walipwe kwa scale ya tanzani hivi kweli watakimbilia bungeni,Tanzania itakuwa na maendeleo
  Kigezo kingine mbunge lazima awe na degree ya somo lolote.
  SINA UBAGUZI WABUNGE WOTE WAWE WA CDM,NCCR,CUF au CCM AMBAO NI WAZEMBE WAWAJINISHWE KWA KUWANYIMA KURA.
  Mungu tupe umoja tuipende nchi yetu.
   
 2. A

  August JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hata sasa hivi si ni kufanya mabadiliko tu ? hii dhana ya wanasiasa na kutugawa watanzania ndio yanayo zaa ujinga tunaona sasa hivi , anaanza mwanasiasa halafu wanajifanya kuwanunua wengine kwa kuwapa mishahara mikubwa eti kuondoa mianya ya rushwa, je wachini ndio hawa mweki katika mazingira ya kupokea rushwa? katbu mkuu 12millioni , daktari bingwa? je structure za wenzetu zipoje?
   
 3. A

  August JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Fourteen Scotland Yard employees are paid more than £150,000 a year – earning more than the Prime Minister.
  Despite huge cuts in police budgets, figures revealed by the Metropolitan Police Authority show that most of the 10 senior police officers and four civilian staff are paid far in excess of David Cameron's £142,000 salary.
  Former Met Commissioner Sir Paul Stephenson received the highest salary last year – £276,588, plus benefits and pension contributions taking the total to £299,377.
  Advertisement >>


  The four civilian staff were director of resources Anne McMeel, on £175,493; director of information Ailsa Beaton, £194,555; former human resources chief Martin Tiplady, £191,031, and chief medical officer Eileen ­Cahill-Canning, £167,136. Among the other top earners were Deputy Commissioner Tim Godwin – £243,503, plus benefits and pension contributions making a total £309,605, and former Assistant Commissioner John Yates, £200,713.
  Sir Paul and Mr Yates resigned last month over the phone-hacking scandal. Both have been cleared of any wrongdoing.
  Assistant Commissioner Ian McPherson received a salary of £192,917. Assistant Commissioners Chris Allison and Cressida Dick each earned £190,846. Four others were paid £150,000-
   
 4. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Wajimbi = wa jimbo

  Vyema.
  Masuala uliyoyaandika yana manufaa sana kwa taifa. Na yatafaa kuwemo kwenye mapendekezo ya katiba mpya,ingawa masuala kama haya yamejadiliwa sana.

  Hilo la kutenganisha ubunge na vyeo lukuki anavyokua mbunge ni suala la manufaa sana. Kwani licha ya kupunguza mtu mmoja kuwa na malipo lukuki,pia litaongeza uwajibikaji wa mhusika.

  Ingawa kwenye suala la mshahara wa mbunge kua tsh. milioni 5 sijue umetumia vigezo vipi kuja na figa hiyo!
   
 5. A

  August JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  na hivi visingizio vya Pinda kwamba wana madeni makubwa na kuwasaidia wapiga kura wao haina mshiko, kwani hawakuchaguliwa kuwa wabunge ili waende kukopa, na zaidi ya hapo shida hiyo wanapata watanzania wote iwe mkulima, wanataaluma, wafanya biashara na kadhalika, na suala la kuwasaidia wapiga kura hilo ni hongo, kwani wao jukumu lao ni kutetea maslahi na huduma kwa ajili ya wapiga kura wao hili litaondoa shida ya mtu kukosa nauli/ada ya shule/matibabu na kdhalika na ladhalika kinyume cha hapo ni kuwafanya wapiga kura kama watumwa wao.
   
 6. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Akili Kama hizi ndio zinazoanzishaga migomo isiyo na kichwa wala Miguu....hebu tathimini ujue siasa Ni nini na hizo profession Ni nini.....then ndio usurgest madudu Kama haya.
   
 7. vimon

  vimon Senior Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  mbona unakuwa mkali magamba wamekutuma nini?
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kwanini tusiwafanye wabunge wetu part-time?

  Baada ya Bunge... wanaenda kufanya kazi Wilayani kwao?
   
 9. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Sio Lazima, Kwa Ushauri wangu kwako ni Wabunge wote wawe Matajiri wenye fedha, kama nchi za USA, UK kwahiyo wakiingia Bungeni wanajali maslahi yao Jinsi gani wataongeza Utajiri wao? Jinsi gani watanunua Madini yaliyopo Nchini?

  Hivyo utawapunguzia karaha... ya kuwapa pesa za nchi wakati kanchi kenyewe hakana pesa ila kina Madini ya kugawia mafisadi
   
 10. vimon

  vimon Senior Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  wewe kweli ni mwana JF great thinker were we dare talk openly
   
 11. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi nadhani ya mwalimu, daktari na wahandisi ni ya kitaaluma na huleta mabadiliko ya kiuchumi na isipothaminiwa tutaendelea kuadhibiwa na umasikini, ujinga na maradhi na makamanda wanaoongoza vita hii wakivihama vikosi vyao kwa kutothaminiwa.Hivi mbunge kafanya nini zaidi ya hawa? hata alipwe mshahara na posho kubwa kiasi hicho tena bila kodi?
   
Loading...