Mswaada wa marekebisho ya sheria ya fedha haramu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mswaada wa marekebisho ya sheria ya fedha haramu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masatujr1985, Feb 3, 2012.

 1. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Kilichotokea bungeni jioni hii ni dhahiri kabisa viongozi hawana nia thabiti ya kuondoa ufisadi nchini. Mtu apate fedha isiyo halali mf. 1 trilion na adhabu ni m. 100-500 au kifungo kati ya 1 year-3 years!!! inasikitisha sana na mswaada umepita. Mwenyekiti wa bunge huyu wa leo (Mabumba) kapitisha mabadiliko ya Mh. Mnyika japo yalikataliwa na serikali baada ya kuwa alerted na Olesendeka kuwa kakosea na alhali bunge lilikwisha ridhia, kafuta maneno yale ili yasiwemo kwenye HANSARD. Kwa wataalam wa sheria, je hapa taratibu ziko sawa maana mwenyewe kaona soo kaamua kuahirisha bunge kwa ubabe alhali wabunge wakiitaji muongozo wa kanuni. Bunge hili linamsaada katika ukombozi wa Tanzania tunayoitaka?
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rafiki yangu 2015 upo wapi? Mbona hufiki baunsa wangu uje utuokoe na haya magamba?!
   
Loading...