Mjadala wa sheria ya bodi ya mikopo waahirishwa kiutata!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa sheria ya bodi ya mikopo waahirishwa kiutata!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by trachomatis, Feb 2, 2012.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Naibu spika ameitisha kura za ndiyo na siyo zipigwe,kufikia maamuzi hayo..
  Zitto na Slaa kwa kutumia vifungu vya sheria waliona ni bora ijadiliwe,isiahirishwe.
  Faustin Ndugulile hoj yake alitaka hoja iahirishwe hadi kikao kijacho...

  Utata wa kura umekuja kwa sababu badala ya kutumia sheria,Naibu Spika aliamua zipigwe kura...
  Kura zilisikika kama vile ni 50 by 50 kwa mara ya kwanza.. Naibu Spika akasema amesikia zinalingana,akasema ni bora zipigwe za mkono,kabla ya kufanya hivyo akaamuru zirudiwe za ndiyo-siyo,ambapo masikio yangu yalisikia wa SIYO wamezidi lakini Naibu huyo akatangaza ushindi kwa wale wa ndiyo.

  Hoja yangu ni kwamba,kwani sheria hazijitoshelezi kutafsiri na kuongoza mijadala bungeni?
   
 2. J

  Juma123 Senior Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  He slaa alikuwa mow alikuwa?
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  sijakuelewa mkuu..
   
 4. m

  mtamba Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Hujitambui uko wapi unakalia umbea TU
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hukufatilia vizuri mjadala wewe.
   
 6. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  si umbea..kama kuna la kueleweshana tunaeleweshana tu kistaarabu..
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  sawa...
  Kuna kufuatilia... Mi nilichelewa.. Ninachojua si sheria ya bodi ya mikopo,ni ya mabadiliko ya sheria mbalimbali na ile ya maji yanayotoka nje ya nchi...
  Ila yote tisa,kumi sheria kwanini zisiwe applied? Vifungu vya kisheria vipo vya kuongoza mijadala ndani ya bunge.. Mi kura za ndiyo-siyo..ah basi tu!
   
 8. jobe ayoub

  jobe ayoub JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kaka,bunge linaongwa na sheria za ccm masilahi si sheria za bunge,usiumize kichwa chako bure! waza maisha yako
   
 9. J

  Juma123 Senior Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  AmetajwA slaa, nauliza je alikuwa mwalikwa ndani ya bunge
   
Loading...