Uamuzi wa naibu spika kuhusu madaktari ni wa busara-halima mdee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamuzi wa naibu spika kuhusu madaktari ni wa busara-halima mdee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Feb 3, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Kawe kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Halima Mdee amesema uamuzi wa Naibu Spika kutaka suala mgogoro wa Madaktari lishughulikiwe na kamati ya huduma za jamii ni wa busara.

  Mdee aliyasema hayo nje ukumbi wa bunge wakati akihojiwa na waandishi wa habari.
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,762
  Likes Received: 6,066
  Trophy Points: 280
  So? What is your standing?
   
 3. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  error 604 try again!
   
 4. vimon

  vimon Senior Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  searxhing.............
   
 5. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamwe sitasifia uamuzi huu bali nasubiri matokeo ya hiki kilichoamuliwa
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kuamua kwa maneno ni tofauti na matendo... Tunasubiri .....
   
Loading...