CHADEMA watoke Nje vikao vyote kupinga mjadala kutopelekwa Bungeni wa Mgomo wa madaktari

mwanza_kwetu

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
693
181
Yes; hii ndio silaha iliyobaki sasa; kama wamepinga Katiba wakaeleweka; kama wamepinga udhalimu mwingi wakaeleweka sasa muda ni huu; mjadala wa madaktari usipojadiliwa leo hii watoke ktk ukumbi kulazimisha jambo hilo; mimi nawasilisha
 
CCM wangejadili kama wale wa kule Apollo wangegoma but sio wetu
 
wasitoke bwana safari hii bora milango ifungwe zipigwe tuu, kukimbia matatizo ni upumbavu!
 
Ukiongelea ishu ya kutoka nje ya ukumbi unanikumbusha Regia Mtema(rip...naamini umeanza kupumzika na kashkash za dunia hii ya shida)...
 
Sasa hiyo hotuba imekuja na solution zipii?..Dr Mponda acha kuchezea afya za watz,au kwakuwa wewe na wenzako mnatibiwa India?..ila 2015 sio mbali,mtapata picha kamili!
 
Ukiwahakikishia wasaini 200,000 alafu watoke watafanya hivyo else
napita tu
 
wasitoke bwana safari hii bora milango ifungwe zipigwe tuu, kukimbia matatizo ni upumbavu!

usiwachuze bana wenzio wakiumia wanaletwa dar na ndege wanapelekwa appolo ..india ama moati kama alipo dada asha
 
namba ya watakaowajibishwa inaongezeka.wabunge wa ccm waliopiga makofi kuchekelea maafa.
 
wasitoke bwana safari hii bora milango ifungwe zipigwe tuu, kukimbia matatizo ni upumbavu!

hahaaaa..Sipati picha bi kiroboto kakunjwa anapigwa vifuti na Lema huku kapteni komba anapigwa vichwa na Zitto
 
Jana tumeshuhudia bunge likikataa kujadili hoja 2, kwa hiyo hata hiyo ya Mgomo wa ma Dk ikikataliwa hakuna haja ya kulazimisha. Itakuwa ni ukosefu wa busara kutoka nje eti kwa sababu hoja imekataliwa. Mbona jana waliokuwa wanataka hoja ijadiliwe hawakutoka nje?
 
CDM mckubali kuendelea kuingia bungeni huku wananchi waliowaweka madarakani wakiendelea kuangamia kutokana na mgomo wa madaktari.


Hoja ya mgomo wa madaktari ijadiliwe bungeni ikishindikana nguvu ya UMMA tupo tayari kwa UKOMBOZI.
 
Laiti wabunge wa CCM nao wangekua na mwamko kama hivi nakuambia Bunge letu lingekua na heshima na mawaziri tumbo kuwaka moto pindi wanapokutana na wawakilishi wetu huko mjengoni.

Lakini kwa ule ulaghai wa kuwageuza MUHURI WA KUPITISHA KILA UCHAFU, bunge letu linadharaulika kweli kweli kwa watawala wetu wazembe hawa na ndio maana kila siku wanauchapa usingizi wa pono na kuuteremshia na rushwa minono minono kiulaiiini.

Dharau hizi zote na maendeleo kuzorota nchini, wabunge wazee wa CCM ndio wa kulaumiwa pamoja na yule afisa wetu mkuu aliyepewa kazi eti kwa kigezo tu kwamba Mungu limjalia kuzaliwa wa kike ila utendaji SIFURI bure kabisa wala hamna kitu pale!!
 
ikiwa katiba mpya wameweza hili la posho dogo mbona linashindikanika??? i mean CDM watoke njee ya ukumbi washinikize mfumo wa posho serikalini ufutwe.

Mimi nishaanza kuhisi CDM wanaongea kukataa posho huku wakijua kwa 100% posho zipo yaan wanaulaghai umma kuwa hawazitaki huku wakujihakikisha posho zitaendelea kuwepo

Kama CDM hawatashinikiza kisawasawa mwisho wa siku wanaonekana kama CUF a.k.a maslahi tumbo.
 
Back
Top Bottom