Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
1. Taarifa aliyoitoa Mwakyembe ya kutaka kuuliwa ilionesha gari za STK zikitumika na wauaji hao waliokodishwa. 2. Mwakyembe akiwa bungeni alisoma taarifa nusu na kuacha kipande kinach JK kuhusika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wana JF! Naelewa mijadala juu ya huyo mmeru imeshakua mingi sana humu na nchini,hadi inachosha. Lakini naomba mimi nijikite katika upande mwingine wa shilingi. Huyu mzee anasemekana ana...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Wana jf wenzangu napenda kuwa taarifu kwamba jumatatu ya tarehe 6 ni siku ya kesi ya kupinga ubunge wa Lema na jaji Mujuzulu amijitoa kwenye kesi hiyo hakika mambo yamekuwa magumu kwa upande wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kwa analysis ndogo ambayo nimeifanya nimegundua makundi matatu ya wafuasi wa CCM(magamba) 1.Vigogo wanao nufaika na rasilimali za nchi, haya majaa niyale kiujumla hayana uchungu na nchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wabunge wa CCM jana walifanikiwa kuzinduka na kuwazidi kete wa CHADEMA dakika ya mwisho. Hali hiyo ilitokea wakati wa kupitishwa kwa muswada wa sheria ya fedha haramu. Aliyeokoa jahazi ni kada...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Originally published in the Guardian on 21 January 1964 The Guardian, Friday 20 January 2012 Article history Waterfront in Zanzibar, Tanzania. Photograph: N Wheeler Sultan...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Heche, CCM wamepanga kuwa na kadi nyingi bandia za Chadema ambazo watu watapangwa wazirudishe wakati wa maadhimisho yao Mwanza ili ionekane wameivunja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WanaJF,Kuna tetesi kubwa zimezagaa hapa Dodoma katika kambi ya wabunge wa CCM kwamba wana mpango wa kukwamisha Mswada wa marekebisho ya sheria ya Katiba Mpya.Lengo kubwa inadaiwa hawajafurahishwa...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Sijatumwa na mtu kusema haya. Nimejituma mwenyewe. Hapo natoa jibu la post ya kwanza kutoka kwa mashabiki wa CDM. Wala sijapokea bahasha kama kauli mbiu yenu humu isemavyo. Najua kuwa, Viongozi...
7 Reactions
62 Replies
4K Views
First Name: Dr. Hadji Middle Name: Hussein ... Last Name: Mponda Member Type: Constituency Member Constituent: Ulanga Magharibi Political...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Kutoka chanzo cha kuaminika inasemekana mrithi wa mh Lowassa monduli ameshajulikana.mkurugenzi mstaafu wa kituo cha uwekezaji bwana emmanuel ole naiko.kwa wale mnaomfahamu tujuzeni habari za mtu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ndo Tanzania yetu jamani,sina hakika kama viongozi wazuri na wenye nia njema na nchi wamekwisha mpaka hawa waliopo wandelee kutesa kiasi hiki.Wamekua na dharau kwa sababu bado wanaendelea...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Mwezi uliopita kulikuwa na zoezi la kuhakiki wafanyakazi wa umma ktk sekta zote. Katika zoezi lile ambapo wahakiki walitoka hazina wamebaini madudu mengi. Imeonekana halmashauri nyingi zimekuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF ni vyema tuwekane sawa kwa jambo hiil ambalo sote kama WaTanzania yatupasa kulichukua kwa uzito wa aina yake na kisha kila mmoja kwa nafasi yake ama yeye mwenyewe kuchua hatua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nisihukumiwe ila ninahisi huyu mh kapotoka maana anawaasa wanachama wa ccm na vijana kulinda na kusimamia viapo vyao vya chama na kwa kufanya hivyo wanatakiwa kuonyesha hilo kwa kumchagua mgombea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wanaofahamu mahusiano yalivyo hivi sasa kati ya JK na Lowassa tafadhari tujuzeni! Hiki kitu " kina special paramount" kujua ili kupima upepo wa namna hali itakavyokuwa ndani ya CCM katika...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamshi Vuai Nahodha Ziara ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamshi Vuai Nahodha, imekumbwa na vurugu mjini hapa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya kufuatia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kufuatia hoja aliyoiwasilisha Naibu Katibu mkuu wa CUF Ismail Jussa juu ya Serikali ya Muungano kupeleka maombi UN kuomba kuongezwa kilomita 200 kutoka ukanda wa bahari ya Tanzania. Wajumbe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Kesho wazee wa magamba wanaadhimisha miaka 35 ya umri wao, maadhimiso hayo yanafanyika Katika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza, kwa kuhofia kuaibika na kukosa watu wa kutosha, gari la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CCM inahaa kujua ninani watamsimamisha ambaye atakuwa na mvuto kwa watanzania lakini bado hawajamuona maana wote hawauziki kwa watanzania kutokana na hali mbaya iliyopo kwa wananchi kwakukosa...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Back
Top Bottom