Baraza la Wawakilishi lamkaanga Shamhuna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la Wawakilishi lamkaanga Shamhuna

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ground Zero, Feb 4, 2012.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kufuatia hoja aliyoiwasilisha Naibu Katibu mkuu wa CUF Ismail Jussa juu ya Serikali ya Muungano kupeleka maombi UN kuomba kuongezwa kilomita 200 kutoka ukanda wa bahari ya Tanzania. Wajumbe wamtaka Shamhuna ajiuzulu kwa sababu wanadai amekula dili na wabara. Baadhi wameenda mbali zaidi kupendekeza katiba mpya irejeshi nafasi ya rais wa Zanzibar kama makamu wa rais wa muungano ili asimamie maslahi ya zanzibar.Ona mwenyewe Zanzibar Legislators Reject Tanzania UN Application for Extended Continental Shelf [Part 2 of 2].mp4 - YouTube
   
 2. k

  kicha JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 180
  old news, unaishi wapi wewe
   
Loading...