Kama Lowassa ana nguvu kubwa ndani ya C.C.M. afanye haya.

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Salaam wana JF! Naelewa mijadala juu ya huyo mmeru imeshakua mingi sana humu na nchini,hadi inachosha. Lakini naomba mimi nijikite katika upande mwingine wa shilingi. Huyu mzee anasemekana ana nguvu kubwa sana ndani ya C.C.M. kiasi cha kuwa tishio kwa wapinzani wake (chanzo:walamba miguu yake). Hiyo nguvu ndiyo inapelekea hao wapambe wake waamini hakuna mwana C.C.M. mwenye kuweza kumzuia mzee huyu katika mbio za kuwania urais mwaka 2015. Vyema. Kama kweli anayo hiyo nguvu,basi afanye yafuatayo: 1. Ashawishi wabunge kupitia C.CM. wakubali mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya marekebisho ya katiba ya mwaka 2011;marekebisho yaliyopendekezwa na watanzania wenye nia njema na nchi yao. Nasema hivyo kwa sababu maneno mtaani ni kwamba wabunge wa C.CM. wanataka kupinga mapendekezo hayo,kwavile itakua sawa na wao kula matapishi yao! 2. Awashawishi wabunge wa C.C.M. kuwawajibisha (kupitia bunge) viongozi wa wizara ya afya (waziri,naibu na katibu mkuu)na waziri mkuu,kwani viongozi hao wameshindwa kushughulikia ipaswavyo mgomo wa madaktari. Ambamo kuna vijana wenye ajira humo (mzee huyo amekua akijinadi kama mwenye kujali ajira kwa vijana). 3. Na mwisho awashawishi wabunge wa C.C.M. kupiga kura ya kutokua na imani na rais wa JMT. Kwani kiongozi huyo amedhihirika kudanganya umma (kwa mujibu wa wabunge wa C.C.M.) kwa kusema hajaidhinisha ongezeko la posho mpya na malipo yake kwa wabunge. Kwani haiwezekani waziri mkuu na spika waseme hadharani kwamba rais ameshaidhinisha,halafu rais akiwa nje ya nchi atoe tamko la kupinga kauli hizo. Hiyo ni dalili ya kuwadhalilisha wabunge wa C.C.M. ambao ndani yake kuna mawaziri wa serikali yake (ina maana amedhalilisha na serikali yake pia). Mzee Lowassa dhihirisha nguvu zako sasa ndani ya C.C.M. Kwani anguko la rais wa JMT litakufanya upate fursa ya kuwania urais mapema kabla ya 2015. Na kwa nguvu ambazo inasemwa unazo,utaingia magogoni kama unasukuma mlevi. Mzee I DARE YOU. Otherwise, you are nothing,but an opportunistic and hypocrite kind of a greedy politician.
 
ofcourse EL anaweza akayafanya hayo but huwezi jua wenzie wamejipangaje na hata huyo JK mwenyewe anawaza nini kumhusu,by the way naona ka wote JK na EL wanaogopana na wanajaribu kutughiliba wa TZ kuwa bado ni marafiki ambao hawajakutana kwenye vichocholo vya bongo
 
ofcourse EL anaweza akayafanya hayo but huwezi jua wenzie wamejipangaje na hata huyo JK mwenyewe anawaza nini kumhusu,by the way naona ka wote JK na EL wanaogopana na wanajaribu kutughiliba wa TZ kuwa bado ni marafiki ambao hawajakutana kwenye vichocholo vya bongo


Kama anazo,afanye hayo sasa.
 
Nzi=uchafu=mavi=ushuzi. Mkono wa mjinga, huandika chochote. Nzi, kweli wewe nzi. Ulichoandika ni uchafu
 
upeo wako mdogo sana mkuu. suala la kushawíshi wabunge wa CCM sio la Lowassa na hata hivyo hicho sio kipimo cha kupima nguvu zake. Suala la wabunge wa CCM kukubali marekebisho ya katiba, n.k ni issue ya wao kusimamia maslahi ya wananchi badala ya itikadi ya siasa za chama. sasa lowasa afanye nini kama hawataki? lowassa ni mwanasiasa wa kawaida tu, kama huna hoja ya kupost kwani lazima uandike?, take a day off. kama ameandikwa sana, basi huna haja ya kumuandika tena, si kuleta thread iliyojaa ukabila, chuki na upotoshaji.
 
upeo wako mdogo sana mkuu. suala la kushawíshi wabunge wa CCM sio la Lowassa na hata hivyo hicho sio kipimo cha kupima nguvu zake. Suala la wabunge wa CCM kukubali marekebisho ya katiba, n.k ni issue ya wao kusimamia maslahi ya wananchi badala ya itikadi ya siasa za chama. sasa lowasa afanye nini kama hawataki? kama huna hoja ya kupost kwani lazima uandike?, take a day off. kama ameandikwa sana, basi huna haja ya kumuandika tena, si kuleta thread iliyojaa ukabila, chuki na upotoshaji.


Mkuu hujalazimishwa kujibu baada ya kusoma.
Hauoni kama nawewe huna upeo kwa kujibu post ya mtu hasie na upeo!
Take two days off muzee.
 
Salaam wana JF!
Naelewa mijadala juu ya huyo mmeru imeshakua mingi sana humu na nchini,hadi inachosha. Lakini naomba mimi nijikite katika upande mwingine wa shilingi.

Huyu mzee anasemekana ana nguvu kubwa sana ndani ya C.C.M. kiasi cha kuwa tishio kwa wapinzani wake (chanzo:walamba miguu yake). Hiyo nguvu ndiyo inapelekea hao wapambe wake waamini hakuna mwana C.C.M. mwenye kuweza kumzuia mzee huyu katika mbio za kuwania urais mwaka 2015.
Vyema. Kama kweli anayo hiyo nguvu,basi afanye yafuatayo:

1. Ashawishi wabunge kupitia C.CM. wakubali mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya marekebisho ya katiba ya mwaka 2011;marekebisho yaliyopendekezwa na watanzania wenye nia njema na nchi yao. Nasema hivyo kwa sababu maneno mtaani ni kwamba wabunge wa C.CM. wanataka kupinga mapendekezo hayo,kwavile itakua sawa na wao kula matapishi yao!

2. Awashawishi wabunge wa C.C.M. kuwawajibisha (kupitia bunge) viongozi wa wizara ya afya (waziri,naibu na katibu mkuu)na waziri mkuu,kwani viongozi hao wameshindwa kushughulikia ipaswavyo mgomo wa madaktari. Ambamo kuna vijana wenye ajira humo (mzee huyo amekua akijinadi kama mwenye kujali ajira kwa vijana).

3. Na mwisho awashawishi wabunge wa C.C.M. kupiga kura ya kutokua na imani na rais wa JMT. Kwani kiongozi huyo amedhihirika kudanganya umma (kwa mujibu wa wabunge wa C.C.M.) kwa kusema hajaidhinisha ongezeko la posho mpya na malipo yake kwa wabunge. Kwani haiwezekani waziri mkuu na spika waseme hadharani kwamba rais ameshaidhinisha,halafu rais akiwa nje ya nchi atoe tamko la kupinga kauli hizo. Hiyo ni dalili ya kuwadhalilisha wabunge wa C.C.M. ambao ndani yake kuna mawaziri wa serikali yake (ina maana amedhalilisha na serikali yake pia).

A very stupid thread from a person of no commercial value. Such kind of threat, deprives the status and reputation of jf
 
Yooote tisa, watanzaia bado. Hata kwa kujadili kote na kujiita Great thinkers, siku ya kupiga kura utajua kwamba watanzania ni wajinga sana kupita hata ule ujinga tunaojaribu kuupiga mateke!
 
upeo wako mdogo sana mkuu. suala la kushawíshi wabunge wa CCM sio la Lowassa na hata hivyo hicho sio kipimo cha kupima nguvu zake. Suala la wabunge wa CCM kukubali marekebisho ya katiba, n.k ni issue ya wao kusimamia maslahi ya wananchi badala ya itikadi ya siasa za chama. sasa lowasa afanye nini kama hawataki? lowassa ni mwanasiasa wa kawaida tu, kama huna hoja ya kupost kwani lazima uandike?, take a day off. kama ameandikwa sana, basi huna haja ya kumuandika tena, si kuleta thread iliyojaa ukabila, chuki na upotoshaji.

Wanunuliwa huwa mko makini na kazi mliyopewa na huyu fisadi. Pole sana ndg yangu. Hv we una akili timamu au ulishapata jeraha la kichwa? Au ni njaa tu mkuu... Mwambie boss kuna thread yake JF na umeshareply akupe chako ukajivinjari. Shame on u.
 
weye unanuka kikwapa halafu unakoga maji ya mtaroni, hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhihinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi hinhi
 
unajua narubongo wakati mwingine huwa sikuelewi upo upande gani

mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi
 
mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi mbwi

hivi we narubongo leo umekunywa pombe gani?
 
hivi we narubongo leo umekunywa pombe gani?

nipo ccm kirumba pombe za bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,nipo ccm kirumba pombe za bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, nipo ccm kirumba pombe za bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom