Magamba Mwanza na miaka 35 - aibuuuu!

Wasusujane

Member
Mar 25, 2011
18
6
Wana JF,
Kesho wazee wa magamba wanaadhimisha miaka 35 ya umri wao, maadhimiso hayo yanafanyika Katika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza, kwa kuhofia kuaibika na kukosa watu wa kutosha, gari la matangazo ya maadhimisho hayo linapita mitaani na kuwatangazia watu kuhudhuria maadhimisho hayo huku likisisitiza kuwa kutakuwepo na chakula cha kutosha, taarifa zinasema wanachinja ng'ombe 14 kwa ajili ya kuwalisha watu uwanjani.
My take.
Kama kimefika mahali pa kutumia chakula ilikipate watu wa kuhudhuria maonyesho yao, pamoja na wasanii kibao, kwa hakika hii ni lala kwa buriani kwa chama hiki.
 
Kwa iyo tatizo ni kufanya matangazo, au kuchinya ngombe 14,kusema chakula kitakuepo ¿aueleweki unamaanisha nn?
 
Wana JF,
Kesho wazee wa magamba wanaadhimisha miaka 35 ya umri wao, maadhimiso hayo yanafanyika Katika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza, kwa kuhofia kuaibika na kukosa watu wa kutosha, gari la matangazo ya maadhimisho hayo linapita mitaani na kuwatangazia watu kuhudhuria maadhimisho hayo huku likisisitiza kuwa kutakuwepo na chakula cha kutosha, taarifa zinasema wanachinja ng'ombe 14 kwa ajili ya kuwalisha watu uwanjani.
My take.
Kama kimefika mahali pa kutumia chakula ilikipate watu wa kuhudhuria maonyesho yao, pamoja na wasanii kibao, kwa hakika hii ni lala kwa buriani kwa chama hiki.

Aibu hii hawana klwa kuificha. Mkubwa wa serikali anasema serikali haina hela na huku chama thawala kinatumia fedha just kuadhimisha eti miaka 35 kwa mbwembwe, jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Jamani kwani MMESAHAU kuwa KIBAYA chajitembeza na kujitangaza lakini KIZURI chajiuza hata bila matangazo.
 
chadema inaruhusiwa kufanya mkutano hapo?na kuwatangazia wananchi kuwa wawahi mkutano wa ccm kirumba wakishakula wawahi mkutanoni?
 
Back
Top Bottom