Uhusiano wa JK na Lowassa ulivyo hivi sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa JK na Lowassa ulivyo hivi sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MNYISANZU, Jan 31, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa wanaofahamu mahusiano yalivyo hivi sasa kati ya JK na Lowassa tafadhari tujuzeni! Hiki kitu " kina special paramount" kujua ili kupima upepo wa namna hali itakavyokuwa ndani ya CCM katika chaguzi za mwaka huu wa 2012 ndani ya CCM na kwa ajili ya mchakato wa kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM kwa mwaka 2015 kiatika nafasi ya urais.

  Onyo: Kama hujui kinachoendelea kati ya hawa wawili ambao hawakukutana barabarani tafadhari soma tu na upite zako! Wajuzi tujuzeni.
   
 2. k

  kuzou JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  rais anatafuta njia ya kumzuia el kua prez,kwani anahisi mshkaji kapata ajali ya kisiasa na hawezi pona,ila yupo state of denial.Ni kama mshkaji wako ana ngoma alafu unajua ila kumwambia huwezi
   
 3. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MNYISANZU hoja yako iko very restricted manake ninachoamini mimi hata hao wanaojua uhusiano wa hao wa2 kama wapo sidhani kama watatuambia ila mimi nikupe hii pamoja na kuwa hawakukutana barabarani ila kama vile ambavyo JK amekuwa "msanii" kwetu watz this is the same applied to EL ni marafiki ika JK amekuwa "msanii" kwa EL hivyo ndivyo status quo ilivyo mpaka nakujibu. Wanazungumza vyema, wanasalimiana vizuri, wanakutana ika EL ameshatambua JK ni mtu wa namna gani ziku nyingi sana EL anafahamu weakness za JK na JK yeye anafahamu strength za EL tbats it.

  Na usanii huo si tu EL bali umeshawatokea puani wengi wakiwamo kina Bernad, Nape na wengine ila kwa bahati mbaya hawa wengine aidha wanajifanya kutokujua au ni bawajui kabisa huyu jamaa ni joka la Mdimu!

  Ni hayo tu broh!
   
 4. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  :A S 465::rant::photo::eyebrows::hatari::washing::hat::A S-coffee:

  Post zingine bana...
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Lowasa atawania uraisi kupitia chama kingine ,kile kilichopata usajili majuzi hivi, wapo viongozi wengi ambao wataachana na CCM na kutimkia huko ,kaeni mkao wa kulisubiri hili ,kiongozi aneandaliwa na CCM hardliner ni Pinda .
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu ,unaweza ukalithibitisha hili?
   
 7. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I like it coz to you hearsay is not admissible!
   
 8. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napita tu nitarudi
   
 9. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyunyu nipende kukutambua kwanza halafu baada ya hapo tusaidiane hili unajua haya ukiende Hoteli unapewa Menu usome kisha uchague kile utakachopenda kula kwa wakati huo hivyo mi nadhani nawe pia uwe na busara unapokuwa humu nikiwa na maana kwamba unavyosema "hoja zingine bana" you have to go further kwamba kama zinakukera tuambie ni zipi zinazokufarahisha ili tuziweke humu japo hatuko kwa kazi ya kukufurahisha wewe pili kama zinakufurahisha nenda mbele zaidi elezea ya kumoyo!

  Manake hatuko kwa kutegana hapa mzee think big, and stop underestimating your thinking capacity ukiona ngumu better be quite tutaona tu kuwa ulipita basi!!!! Othrwise wishing you luck
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kuzou,
  Nasikia Kikwete amekuja na dhana kwamba Nyerere alitawala miaka 23, akaingia Mwinyi miaka 10, akaingia Mkapa miaka 10 na yeye Kikwete miaka kumi. Ukijumlisha miaka yake 10 na ya Mwinyi unapata 20. Ukijumlisha ya Mkapa na ya Nyerere unapata 33. Angependa Muislamu mwingine achukue hiyo nafasi angalau na Waislamu nao wasogee karibu na 30. Ndiyo maana unasikia makelele ya Asha Rose Migiro, mara hii zamu ya mwanamke mara hii zamu ya Mzanzibari. Nimesikia hivyo.
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo lowassa yeye hana weakness sio?inawezekana lakini anyway,ila rais safari hii atatoka zanzibar!
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hii ya pinda hata mimi nimeisikia,mkakati wa kundi lake uko chini ya uenyekiti wa mzee Paul Kimiti.Pia anaungwa mkono kwa kiasi kikubwa na kanisa katoliki chini ya baba sakofu Pengo,japo wakosoaji au wapinzani wa hili kundi la pinda wanaona limekaa kisumbawanga sumbawanga hivi hasa kutokana na kuungwa mkono pia na mzee maji ya tanga mzindakaya.PENGO,KIMITI,PINDA,MAJI YA TANGA na PENGO wote ni wenyeji wa sumbawanga(RUKWA)
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hebu tuambie "motive behind" ya wewe kutaka rais ajae atoke Zanzibar. Pia je rais akitoka Zbar ndio itakuwa mwaobaini wa matatizo ya kiuongozi ya watanzania?
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa mkuu! hiyo ni ajenda ya Kikwete ambayo kila mtu inabidi aijue mapema ili 2015 tufanye alternative.
   
 15. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  jk!!atumie!!busara
   
 16. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Chama gani hicho Mkuu?
   
 17. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Wasiokutana barabarani huwa hawaachani barabarani!
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli basi atakuwa amepoteza credibility ya kuwa kiongozi. Hatuchagui viongozi wa kitaifa kwa kuangalia dini zao. Kama hii ni strategy yake,ajiandae kufeli tena kama alivyoshindwa kwenye mambo mengine. Haitapata baraka za watanzania!!
   
 19. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Tunahitaji rais sio chief executive officer,rais atakaekidhi matarajio ya watanzania wote sio matarajio yenu nyie wapiga debe wa wagombea urais,mtu huyo yupo,japo watu hawamzungumzii kwa hana wapiga mayowe kama hao wagombea wenu lakini yupo,wakati ukifika mtamuona,huyo ndio alitakiwa kuingia ikulu even 2005 sio huyu wa sasa sema hila za genge la mafisadi likiongozwa na Lowassa na Rostam ndio zikatuletea huyu na kumzuia yule,kwa hila tu,mkapa anajuta kutumika na hawa na kwa taarifa tu amekwenda kumuangukia huyo mtu na jitihada za mkapa zinaendelea kumshawishi mtu huyo,yeye haitaji urais kama hawa watu wenu bali urais ndio unamhitaji,nyie pigeni mayowe tu lakini yupo mzanzibari.

  Na pia mzanzibari huyo atatusaidia sana kupunguza manunguniko ya ndugu zetu wazanzibari ambao ni muda sasa hawajaenjoy moja kati ya matunda ya kuwemo katika muungano-urais.
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hii ndio kwanza naisikia, ngoja nami nijipange kuingia kwenye mtandao wao huenda nikaambulia ukuu wa wilaya...lol!
   
Loading...