CV ya Mheshimiwa Waziri wa Afya anayesubiri kujiuzuru hivi karibuni

ntawo

Member
Jan 24, 2012
11
1
First Name: Dr. Hadji
Middle Name: Hussein
... Last Name: Mponda
Member Type: Constituency Member
Constituent: Ulanga Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 9083, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 783 003 635
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: hmponda@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 27 September 1958

EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Manda Chini Primary School Primary Education 1967 1970 - PRIMARY
Nawenge Primary School Primary Education 1971 1973 - PRIMARY
Minaki Secondary School O-Level Education 1974 1977 - SECONDARY
Tosamaganga Secondary School A - Level Education 1978 1980 - HIGH SCHOOL
Mzumbe University Business Management 1984 1987 - ADV DIPLOMA
London Univeristy Public Health 2003 2004 - MASTERS DEGREE
Mzumbe University Material Management - GRADUATE
London Univeristy Public Health 2007 2010 - PHD
 
Mponda amepondeka,..... jamaa inaonekana hata siasa hajui kwa sababu wenzake wajanja..... hajui kusoma wakati
 
Pinda ni LL.B holder ambae hajawahi ku practice law.
 
  • Thanks
Reactions: mka
Jamani mbwembwe zote kumbe sio md? Anamnyanyapaa Ulimboka kumbe yeye ndio sio md? Ovyo kabisaa no wonder alikuwa anatetemeka wakati wakutoa tamko bungeni.magamba ovyo sana
 
First Name: Dr. Hadji
Middle Name: Hussein
... Last Name: Mponda
Member Type: Constituency Member
Constituent: Ulanga Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 9083, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 783 003 635
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: hmponda@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 27 September 1958

EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Manda Chini Primary School Primary Education 1967 1970 - PRIMARY
Nawenge Primary School Primary Education 1971 1973 - PRIMARY
Minaki Secondary School O-Level Education 1974 1977 - SECONDARY
Tosamaganga Secondary School A - Level Education 1978 1980 - HIGH SCHOOL
Mzumbe University Business Management 1984 1987 - ADV DIPLOMA
London Univeristy Public Health 2003 2004 - MASTERS DEGREE
Mzumbe University Material Management - GRADUATE
London Univeristy Public Health 2007 2010 - PHD

hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, he is not a medical doctor, and we thought we have a fellow!!! what a hit by JK and his crew!!

Ndio maana IHI aliipeleka ki ndio mzee na kuajiri nyumba ndogo zake, LOL

View attachment 46641
 
Uongozi siyo elimu, Dr. Hadj Mponda hana matatizo as far as I am concerned. Tatizo pale ni MRS. Blandina Nyoni, period!

Sema nimeshangaa na mpaka sasa bado najiuliza kwa nini serikali ilianza kumshughulikia mtu mmoja tu? 'Ulimboka' I think that was not fair...

Kamanda

Kuna lawama kwamba mlijua huo udhaifu wakati wa bajeti lakini baada ya kupewa "Kajairo" mkageuka dead-balls, ni kweli?
 
Elimu aliyo nayo ni nzuri. Tatizo si kiongozi. Tatizo la kikwete anaendekeza urafiki na udini kwenye kazi. Huyu by all dimensions hafai hata akizungumza unaona kabisa. A leader should speak from his/her heart. Ni mwoga, hajiamini.
Kiongozi gani anaogopa ama hajiiamini kuongea na anaowaongoza?
Jamani hata niipewa leo hiyo wizara ningelikuwa nakayagia kwa raisi kumwambia awaagalie madaktari. Mbona magofuri alikuwa anaungana na maengineer kuwatetea alipokuwa ujenzi.
Tyaani huyu kikwete anateua watu wengi wasio na uwezo kwa sababu vigezo vyake ni vya ovyo.
Hata pinda muangalie. Hana hata quality 1 ya kuwa waziri mkuu. Pinda ana sifa moja very royal kwa aliyemteua. Kila kitu mpaka akaulize, tatizo anayemuuliza yuko icu. Jamani nchi yetu inaongozwa na matahira.
Sasa pinda kasema anafukuza madaktari na kuleta wanajeshi, imeshindikana. Sasa apige chini akalime sumbawanga.
Tumesoma science kwa mateso sasa tufanye kazi kwa mateso. No
isiwe kwa madaktari tu. Kila mtu adai haki yake uzalendo tuweke pembeni
 
Uongozi siyo elimu, Dr. Hadj Mponda hana matatizo as far as I am concerned. Tatizo pale ni MRS. Blandina Nyoni, period!

Sema nimeshangaa na mpaka sasa bado najiuliza kwa nini serikali ilianza kumshughulikia mtu mmoja tu? 'Ulimboka' I think that was not fair...

Ahsante Mheshimiwa,

Nasikitika kwamba na wewe umeangukia kwenye mtego kama ule wa Mh Pinda na Mponda....Hadi hapa tulipofika, huwezi kusema mwenye tatizo ni Nyoni peke yake. Kwani nani mwenye mamlaka juu ya uendeshaji wa wizara kati ya PM, Minister na PS????

Hatuwezi tena kuongelea root course ya mgomo kabla hatujarudisha huduma za afya katika katika hali yake ya kawaida. Na kuendelea kwa huu mgomo kunatokana na MP + waziri kushindwa kuonesha uongozi usioyumba (firm leadership)!! Baada kurudisha huduma za afya ndipo tutakapoweza kushughulika na akina Nyoni + Mtasiwa et al!!

Hawa wote lazima wawajibe (if we were to be civilised citizens and leaders)!!
 
Sema nimeshangaa na mpaka sasa bado najiuliza kwa nini serikali ilianza kumshughulikia mtu mmoja tu? 'Ulimboka' I think that was not fair...

Kwahiyo unakubali pia serikali kumshughulikia Ulimboka. Nanikwakosa lipi sasa
 
Hiyo masters ya materials management ya mzumbe aliipata lini? Labda ndo anajaribu kumanage madr kama materials!
 
Uongozi siyo elimu, Dr. Hadj Mponda hana matatizo as far as I am concerned. Tatizo pale ni MRS. Blandina Nyoni, period!

Sema nimeshangaa na mpaka sasa bado najiuliza kwa nini serikali ilianza kumshughulikia mtu mmoja tu? 'Ulimboka' I think that was not fair...

Mh Dr wa ukweli Kingwangwala....

kwanza nikupe pole sana kwa misukosuko ambayo imekukuta katika kipindi hiki cha mpito cha ukombozi wa taaluma dhidi ya wanasiasa.....

maneno waliyokurushia wenzio wakiwapo mawaziri sisi hayajatufurahisha kabisa..... but....you have stand as a real man na USIMFUKUZE KICHAA ALIYEBEBA NGUO ZAKO MTONI.......

but, dhana ya responsibility iko pale pale.... je waziri kama mtu wa mwisho katika dhamana yake asingeweza kufanya mabo yakawa otherwise?

je msomi katika level hiyo ya PhD japo yenye background iliyopinda pinda changanya na influence yake kwa wapiga kura anakosa cha kuongea at list with logic.....HOW COMES ULIMBOKA BECOMES THE PART OF THESIS.....tena mbele ya watunga sheria??? HAPA NADHANI HUYU ALIANDIKIWA THESIS ZAKE ZOTE.

but kamanda....dont you think its RATIONAL TO HAVE THE MINISTER RESPONSIBLE FOR FAILURE OF MEDICAL SERVICES delivery FOR ALL THIS PERIOD?

all the best mkuu...tuko pamoja!|
 
Duuu kuuumbe ni Dr wa type ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! naomba tukumbushane Mawaziri wa Afya waliopita wa type hii ni kina nani?
 
Uongozi siyo elimu, Dr. Hadj Mponda hana matatizo as far as I am concerned. Tatizo pale ni MRS. Blandina Nyoni, period!

Sema nimeshangaa na mpaka sasa bado najiuliza kwa nini serikali ilianza kumshughulikia mtu mmoja tu? 'Ulimboka' I think that was not fair...

Waziri anakuwa si kitu ukifuatilia matamshi yake. Naye anaonesha siyo makini katika uongozi wake. Nakupa pongezi kupambana na mafisadi ukiwa meza moja na wao. kama wameadhimia kukufukuza, jing'atue mara moja ili waabike wao
 
Uongozi siyo elimu, Dr. Hadj Mponda hana matatizoas far as I am concerned. Tatizo pale ni MRS. Blandina Nyoni, period!

OK Hon Kigwangala, kuna tetesi kuwa mama Nyoni anaweza kuachia ngazi muda wowote kuanzia sasa. Unaamini kwa dhati kabisa kuwa mama huyo akitoka pale ndio utakuwa mwisho wa matatizo? Kama Mponda ameshindwa kujua alitatue vipi tatizo, basi yeye hafai mara 100.
 
Back
Top Bottom