Wabunge wa CCM hatarini kukwamisha Mswada wa marekebisho ya sheria ya Katiba Mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CCM hatarini kukwamisha Mswada wa marekebisho ya sheria ya Katiba Mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Feb 3, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  WanaJF,Kuna tetesi kubwa zimezagaa hapa Dodoma katika kambi ya wabunge wa CCM kwamba wana mpango wa kukwamisha Mswada wa marekebisho ya sheria ya Katiba Mpya.Lengo kubwa inadaiwa hawajafurahishwa na mazungumzo Rais aliyofanya na CDM na hatimaye kuyakubali karibu mapendekezo yao yote.Wabunge kama watano wa CCM niliozungumza nao wamedai Rais hakuwatendea haki kwani wamedharaulika sana mbele ya wananchi na wabunge wa CDM wameonekana mashujaa na washindi.Pia inavyoonekana wabunge wa CCM hawajaridhishwa na jinsi Rais anavyoshugulikia suala la posho,kwa hiyo kuna kama hali ya kutunishiana misuli na kukomoana.Katika huu mpango hata wabunge wa CUF wanashirikishwa.Na Tusubiri tuone kitakachotokea.Nitajitahidi kuwapa updates kwa yatakayoendelea hapa.
   
 2. N

  Noboka JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,144
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Wafanye watakavyo lakini mwisho wa siku lazima tuwatwange mawe, we ngoja tu. kama kuna kitu ambacho JK anaweza kuacha historia ni kuruhusu huu mchakato wa katiba ufanywe kwa sheria inayokubalika na wengi vinginevyo historia itamhukumu. Uzuri ni kuwa kama yeye ameshabariki hayo mapendekezo ya CDM/umma na hao wabunge wake wanadhani watamwangusha JK wanajidanganya, si tutawaona kwenye TV?
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu tumekwisha.Tusali na kufunga wasifanikiwe mpango wao huo
   
 4. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  If true, they are being so silly!
  Katiba is not about them but wananchi. Kama wana maoni mazuri zaidi ya CDM basi wayapeleke na wao. Otherwise they should shut up and support the good cause.
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani Raisi amefanya jambo zuri kwa maslahi ya umma na taifa. Sasa huu ubinafsi utatupeleka Somalia. Hapa hakuna kushindana bali mustakabali wa katiba bora.
   
 6. b

  busar JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Now we can c whats greeks meant "politik" mambo mazuri hayo.
   
 7. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kitu kama hiki nilikua nakiwadha kichwani mwangu, hawa wabunge wa c.c.m wanaweza kukwamisha marekebisho ya katiba.
  Naomba kumnukuu Mhe (kamanda) Zito Kabwe "They think small"
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni matumaini ya taifa zima kwa hakuna hta mbunge mmoja wa CCM ambaye angependa VURUNGU nchi nzima kuhusu swala nyeti la Katiba Mpya kwa njia ya kutumika wananchi usukani ziwe zimetokana na uamuzi wao kukwamisha matakwa ya umma.

  Laa sivyo yote yatageuka kuwa ni vita kati ya baadhi ya wabunge wa CCM dhidi ya Umma wa nchi hii. CHADEMA, take signals and plans 'B' and 'C' should be ready long enough, in any case.
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Wanakwamisha kwa kupenda sifa au kwa kuwa katiba itakuwa kiboko kitakachowachapa mbele ya safari? Mara nyingine nawaza sana uwezo wa kufikiria wa wanasiasa kwenye nchi za kiafrika ni mdogo kiasi gani!
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama atakuwa makini rais Kikwete anaweza ku-score points za nguvu kwenye hili. Anachotakiwa kufanya ni kusimamia makubaliano yake na CHADEMA. Kama wabunge wa ccm watapingana naye basi watajikuta wako upande wa pili huku rais akiwa upande wa wengi. horror kwa wabunge wa ccm lakini ndio siasa!
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Wabunge wa CCM hawana ubavu wala uwezo wa kuipinga serikali iliyowaweka kwa kuchakachua matokeo ya kura majimboni. Kama wabunge watapinga haitakuwa wanapinga serikali bali itakuwa ni muafaka kati yao na serikali kucheza mchezo huo ili kuonesha kuwa JK kajitahidi isipokuwa amepingwa na wabunge na hiyo ndiyo demokrasia.

  Anything happening in tha parliament is the top down information. Bunge la CCM halijawahi na halitawahi kuwa huru hata siku moja.
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mheshimiwa Rais wetu msikivu hawa wabunge wa chama chetu wanatuangusha sisi watanzania
   
 13. Bams

  Bams JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 3,616
  Likes Received: 2,997
  Trophy Points: 280
  Sitashangaa wabunge wa CCM wakifanya hivyo maana wao huwa hawaangalii maslahi ya Taifa isipokuwa maslahi yao. Kosa alilofanya JK ni kuusaini ule mswada. Kama angekuwa ni mwerevu angekubaliana na ushauri wa CHADEMA wa kutokusaini, na kisha angeurudisha bungeni kuwa hakubaliani nao, na wabunge wangelazimika kuujadili upya. Kama wangeng'ang'ania, alikuwa na uwezo wa kuvunja bunge na kurudi kwenye uchaguzi. Wabunge wengi wasingekubali kufika huko kwa sababu ya hofu ya kutokuchaguliwa tena.
  Lakini wakiyagomea mapendekezo ya marekebisho yaliyoletwa na serikali yao, ambayo kimsingi ni ya Rais, watazidi kujimaliza, madhara yake yatakuwa makubwa zaidi kuliko aibu wanayoihofia. Hata hivyo sioni kama wabunge wa CCM wana heshima yeyote mbele ya jamii kiasi cha kufikiria kuwa wamevunjiwa heshima (heshima ambayo tayari hawana).
   
 14. O

  OLEWAO Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Inawezekana kabisa maana dalili zimeanza kijionesha jana baada ya kukwamisha miswada miwlili ya serikali yao. Hiyo ni salamu kwa JK. Si kawaida kwa mabunge ya CCM kupinga muswada wao maana huwa yanakalishana vikao na mama yao makinda yanajazana ujinga halafu yakifika mjengoni utaona yanvyopinga hata ukisema 0+0 = 0. Yakikwamisha wenye katiba tutaingia barabarani kuandamana kuiondoa serikali yao madarakani.
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimewasiliana na mbunge mmoja ninayefahamiana naye kasema ni kweli wabunge wengi wa ccm wana mpango huo
  Lakini anadai serikali wameshajua na waziri mkuu ameitisha kikao cha dharura cha wabunge wote wa ccm kuwekana sawa
  Pia kuthibitisha sintofahamu hiyo jana mwanasheria mkuu wa serikali alisema waziwazi bungeni kwamba kuna kitu kisicho cha kawaida kinaendelea kati ya wabunge
   
 16. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Hatufungi wala kusali, wao ndio wafunge na kusali kwani hawana ubavu wa kushindana na nguvu ya uma! wajaribu waone cha mtema kuni.
   
 17. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Miafirika ndiyo tulivyo.
   
 18. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Wacha waendelee kujipakaza kinyesi usoni kama walivyo fanya wakati wanaupitisha mswada huo, kwani kwa siku tatu walikaa badala ya kujadili mswada wao wakamjadili Tundu Lisu matokeo yake wakatoka na upuuzi ambao walimpelekea raisi ausaini kuwa sheria.
   
 19. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  katiba kama ni ya Tanzania basi kila mtanzania mchango wake ni wa Muhimu ila kama Kuna nchi itakayozaliwa na kuitwa ccm,Chadema,Cuf n.k ambayo katiba hiyo itatumika kwa nchi hizo hatuna budi kulumbana.Hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na nchi yake wote ni wachumia tumbo
   
 20. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kwa mala ya kwanza ndo utaona wananchi tutakavyomtetea jk na kuwaacha wabunge vilaza wanashangaa, hawa wabunge wapo kwa maslai ya nani?
   
Loading...