Ukweli kuhusu wana ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu wana ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kabuga, Feb 5, 2012.

 1. k

  kabuga Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu kwa analysis ndogo ambayo nimeifanya nimegundua makundi matatu ya wafuasi wa CCM(magamba)

  1.Vigogo wanao nufaika na rasilimali za nchi, haya majaa niyale kiujumla hayana uchungu na nchi wala na chama, isipokuwa
  yako pale kufaidika na rasilimali za Tanzania, hili nikundi kubwa sana kama vile wakuu wa mikoa, baadhi ya wabunge, wakuu wa vitengo mbalimbali na wafanya biashara wakubwa kama akina Manji( kwa ujumla linachukua asirimia kubwa ya viongozi)

  2. Watu wasiojua waendako wala watokako, hapa ieleweke wazi sina nia ya kuwatukana watanzania wenzangu, ila ni ukweli kuwa kundi hili ni wale watz ambao wanaona huduma za serikali kama msaada kwao na fadhila kwao, na hapa wakitengenezewa barabara (mfano huo) wataona kama muujiza na huruma ya viongozi kwao, na hapo usiseme kuhusu maji, na kundi hili limekuwa likidanganywa eti CCM ndicho chama kinacho simamia amani na kuilinda hapa tananzania na kuambiwa eti siku chama kikiondoka kutakuwa na vita (kwa ujumla hili ni kundi la wajinga na wanatakiwa kuelimishwa)

  3.Kundi la masikini, hili ni kundi linalo kusanya masikini japo pia wajinga ambao hutegemea fadhila ya tisheti, kanga na kofia pia na chakura wakati wa kampeni nalo kundi hili ni kubwa na kuliondoa yatakiwa miundo mbinu ya kupunguza umasikini pia na elimu ili wajue kuwa umasikini umesababishwa na ccm wenyewe

  4. Kundi la vijana wanao tazamia kuwa mafisadi nao wanachungulia ili wapate nafasi na hawa ni kama akina Nape na baadhi ya watoto wa mafisadi pia baadhi ya wanavyuo ambao nao hawajaelimika vya kutosha.


  NAOMBA KUWASILISHA NA PIA MWENYE NYONGEZA ANAWEZA ONGEZA.....................................................
   
 2. k

  kabuga Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du! kweli kabisa
   
 3. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  yaaani ww uko sawa kabisa
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Hasa hili kundi la pili ndo linazaa la tatu kwa kasi kubwa sana, linahitaji msaada wa halaka sana kabla halijawa chronic
   
Loading...