Massenberg
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 1,173
- 1,370
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Heche, CCM wamepanga kuwa na kadi nyingi bandia za Chadema ambazo watu watapangwa wazirudishe wakati wa maadhimisho yao Mwanza ili ionekane wameivunja ngome ya Chadema.
Anasema mpango huo umeshajulikana tayari ingawa hajaeleza hatua za kupambana nao.
Source: Page ya John Heche Facebook
Anasema mpango huo umeshajulikana tayari ingawa hajaeleza hatua za kupambana nao.
Source: Page ya John Heche Facebook