Uhakiki wa wafanyakazi wa umma wabaini madudu kedekede! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhakiki wa wafanyakazi wa umma wabaini madudu kedekede!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malolella, Feb 4, 2012.

 1. M

  Malolella JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwezi uliopita kulikuwa na zoezi la kuhakiki wafanyakazi wa umma ktk sekta zote. Katika zoezi lile ambapo wahakiki walitoka hazina wamebaini madudu mengi. Imeonekana halmashauri nyingi zimekuwa zikipokea mishahara inayoonesha kunawa2 wanalipwa kumbe ni dili zao kwani kunawatu waliacha kazi na mishahara inatoka. Halmashauri ndo zimeonekana kufanya ubadhilifu mkubwa wa fedha. Wamewaruhusu watu kwenda kusoma bila kutimiza masharti kama kukaa miaka 2 ki2oni na wanakula mishahara. Kuna wakurugenzi mpaka sasa wapoktk hali mbaya kwani wao ndo chanzo cha ubadhilifu. Tz uchakachuaji utaisha lini?
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mimi nilidhani utakuja na statistics kumbe umbea tu.
   
 3. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  Njaa tu hiyo. Halmashauri wanakula pesa kidogo sana ya wizi.
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Wakurugenzi wako kwenye hali mbaya? Wanaumwa? Kama ni wevi wafutwe tu kazi.
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Magamba yanasubiri hadi hali iwe mbaya ndo wanafunguka, yote haya kwa kuwa serikali Imefulia na huyu vasco da gama ametoswa na wazungu wake anaowatembezea bakuli bila Aibu
   
 6. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Hacha umbea wewe mtoto wa kike, kama ni kweli si uweke habari kamili ili tuzijue hizo halmashauri na hao wakurugenzi, hacha kukurupuka kajipange
   
 7. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Apate wapi data wakati hata ripoti yake hajamalizia kuandika? Shame on you!
   
 8. S

  SOBIBOR Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninavyofahamu mimi zoezi hili limeanza kufanyika mwezi uliopita lakini ingekuwa vizuri mleta mada angakuja na hata takwimu kindo hata kama sample ni ndogo tungepata cha kuongea lakini kwa hili story ni plain sana
   
 9. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Naona wachakachuaji wa halmashauri wamekuwa wakali kweli kweli..kitumbua kinaingia mchanga.
   
 10. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa mkuu hao walioruhusiwa kwenda kusoma wameacha kazi au bado wafanyakazi?. Kama wameacha kazi na kuendelea kulipwa mshahara huo utakuwa ni ubadhirifu mkubwa sana na ndiyo tunawaita 'ghost' employees. Ila kama wameenda kusoma na mkataba wao unawatambua kuwa ni watumishi wa halmashuri basi unatakiwa kuleta data za mikataba ya kusoma kwao na wanasomea nini hasa cha kuongeza ufanisi wa halmashauri.

  Huu uhakiki ni upuuzi mtupu hata kama watawapata wafanyakazi laki moja hewa bado wizi huu haushindi ule wa EPA kagoda, vitambulisho, Richmond, IPTL, na mikaba ya hovyo inayolisababishia taifa hasara ya mabilioni. Wamekwangua hazina yote kwa safari zisizo na tija leo hii wanamtafuta mchawi baada ya serikali kuwa katika hali mbaya.

  Sikatai halmashauri nyingi zina ufisadi tena mkubwa sana, ila ufisadi huo hautokani na watu kwenda kusoma kabla ya muda na kuendelea kulipwa. Unatokana na wafanyakazi hewa(un-existing employees) na madili ya kifisadi kama kufanya kazi za kondarasi zisizokuwepo.
   
Loading...