Chukueni Chenu Mapema (CCM) 2015 CHADEMA tunashika nchi hata nyinyi mnajua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chukueni Chenu Mapema (CCM) 2015 CHADEMA tunashika nchi hata nyinyi mnajua!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Feb 4, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  CCM inahaa kujua ninani watamsimamisha ambaye atakuwa na mvuto kwa watanzania lakini bado hawajamuona maana wote hawauziki kwa watanzania kutokana na hali mbaya iliyopo kwa wananchi kwakukosa huduma za jamii!
  Wanaweweseka kumtafuta wakumuweka madarakani na sasa wao wanafahamu kuwa CHADEMA 2015 inachukua madaraka na waliowengi wanajiandaa kwa maisha yakutokuwa na uongozi!
  Nawameogopa kuona zanzibar imekubalika na sera yake ya serikali tatu!
  Kaa mkao wakuwa wapinzani CCM muonje machungu yake!Ila mkakati mlionao ni mmoja wakutumia dola kuwaletea ushindi usiku wa manane!!
   
Loading...