Mh lema arudi arusha kwajili ya kesi yake

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Wana jf wenzangu napenda kuwa taarifu kwamba jumatatu ya tarehe 6 ni siku ya kesi ya kupinga ubunge wa Lema na jaji Mujuzulu amijitoa kwenye kesi hiyo hakika mambo yamekuwa magumu kwa upande wa wanaopinga ubunge wa Lema!
 
usikute lema amemtishia jaji maisha kwa maana huyo jamaa yeye anawaza ugomvi tu muda wote
 
usikute lema amemtishia jaji maisha kwa maana huyo jamaa yeye anawaza ugomvi tu muda wote

Wewe ndiye unawaza ugomvi kwani umejuaje kwamba kamtishia hajatishiwa bali hajui sheria anabaka sheria hivyo Kimomogoro anampeka sana kila akipewa kifungu cha sheria anaomba kuairisha kesi akatafute hicho kifungu kwa hiyo kaona mwisho wa siku atahaibika kama mwanasheria wa serekali kwajili ya nape na wachache wao maana hawashindi hii kesi ccm hata wafanya je?
 
Kamanda Lema leo yupo Keko maghorofani dar es salaam (atautubia mkutano mkubwa wa hadhara, makamanda wengine Pro Safari, Mabere Marando, Heche, Kileo, pamoja na viongoz wa majimbo, wilaya na mkoa) katika operation maalum inayoitwa "Ondoa C.C.M Dar es salaam", nafikiri Arusha atakuja kesho uko.
 
usikute lema amemtishia jaji maisha kwa maana huyo jamaa yeye anawaza ugomvi tu muda wote

Utajuaje kama jaji amelazimishwa kutengua matokeo ya ubunge na jaji ameona hawezi kulazimishwa??kumbuka nape baada ya uchaguzi wa igunga alisema kuwa sasa wanahamia Arusha mjini.
 
usikute lema amemtishia jaji maisha kwa maana huyo jamaa yeye anawaza ugomvi tu muda wote

Tumia ubongo kufikiri wala siyo Masaburi wewe na kila mpenda haki alitaka Mujuluzi toka EMMMA advocates ajitoe,otherwise tuta mwaga nondo hapa mpaka utalaumu,cool down meeeeeeen
 
Back
Top Bottom