Kauli ya msekwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya msekwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sterling, Feb 4, 2012.

 1. sterling

  sterling Senior Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nisihukumiwe ila ninahisi huyu mh kapotoka maana anawaasa wanachama wa ccm na vijana kulinda na kusimamia viapo vyao vya chama na kwa kufanya hivyo wanatakiwa kuonyesha hilo kwa kumchagua mgombea waliomsimamisha... sasa swali ni kwamba je watanzania wawajibike kwenye chama zaidi kuliko maslahi ya nchi? je kama kiongozi hafai bado nimchague tu kwa kuwa anatoka katika chama changu? je hii haichangii kuondoka kwa uzalendo wa watanzania kwa kubudu vyama vyao vya siasa kuliko maslahi ya nchi?
  wadau ni mtazamo tu...................
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kwahiyo mtu apewe kura kwa kuwa na sifa moja tu nayo ni kuwa amependekezwa na ccm. labda kuna haja ya kumkumbusha bw.msekwa kuwa kura hapewi mtu kwa kuwa yeye ni mwanachama wa ccm bali kura inambidi anaye hitaji basi lazima she/he has to earn it kwa kuzingatia record ya utendaji kama kiongozi. hatuchagui watu eti kwa kuwa wamevaa mashati ya kijani tu.
   
 3. sterling

  sterling Senior Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hilo ndilo la muhimu kwmba sum1 has to struggle kuitafuta kura yangu kwa kunionyesha uwezo wake katika kusimamia miiko na wajibu nitakaompa kwa kura yangu,,, na hii si kwa ccm tu bali inaapply hata kwa vyama vingine... wanaccm msidanganyike na maneno ya mzee msekwa chagueni mtu kwa kuangalia uwezo wake katika kufuatilia matatizo yenu na kuwatoa katika hatua moja kwenda hatua nyingine iliyo bora kimaendeleo
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yake hata JWTZ,MAHAKAMA,POLISI wameichoka ccm!
   
 5. b

  busar JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Naturally thinking is as eqaul as the thinkers age. Huzeeka kwa kadiri umri unavyozeeka, ccm itafia mikonononi mwa hawa wazee jamani, badala ya kumwaga sera Ye aja na mistari ya zilipendwa. Hivi viapo bado vipo? C kaenda navyo mchonga? Kwawni pale zenji 1992 walipoua azimio la arusha alidhani wanaua nini?
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tutamdhihirishia anguko la ccm siku bomu hili la kukosa ajira kulipuka na kuwang'oa madarakani
   
 7. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Msekwa is an expired, damn-old-fool.
   
Loading...