Mchanganuo wa safari za JK

Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,581
6,675
Wakuu sina hakika kama ilishawekwa humu hii kitu ila naomba niiweke km jinsi nilivyoipokea.

*Hadi kufikia leo, tarehe 01 February 2012, Rais wa sasa wa Tanzania, amesafiri mara 322 nje ya nchi. Ukizidisha hiyo idadi ya tripu/safari (322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari. Utapata jumla ya siku 1288. Hizi siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 (siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaani mika 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania. Kwa kuwa Rais Jk aliingia madarakani mwaka 2005 na hadi sasa2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwa hiyo, Rais amekaa nje ya nchi zaidi ya nusu ya muda wake wote aliokaa ktk nafasi ya urais (3.5 yrs out of 6 years)*Je, Rais hajavunja rekodi ya kuingizwa ktk Guiness book of rekords ya dunia? Yaani Rais aliyekaa nje ya nchi yake kwa muda mrefu kuliko marais wote wa dunia? Rais gani amemezidi Rais wetu?*Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya ukosefu wa Muda wa kuzisoma?*GHARAMASafari ya mwisho (safari ya 322) ya Davos 25 - 28 January 2012, iliigharimu Serikali Tsh mil 300. Nikiamua kuchukua theluthi mbili ya gharama hizo - yaani mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322.Jumla yake ni 64,400,000,000. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ndio gharama ya kujenga zahanati mmoja kwa wastani, utapata jumla ya Zahanati 1288.Kwa kuwa Tanzania ina jumla ya Kata 2011, fedha hivi zingetosheleza kuweka zaidi ya 60%. Ikumbukwe kuwa Tz wanawake wajawazito kati 24 hadi36 kwa siku wanakufa kwa sababu kadhaa ikiwepo kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali.
 
Back
Top Bottom