Wasira live Arusha maadhimisho ya CCM mkoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasira live Arusha maadhimisho ya CCM mkoa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chuki, Feb 5, 2012.

 1. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu;Mhe Stephen Masatu Wasira hivi sasa yuko Meru kuhudhuria maadhimisho ya miaka 35 ya Chama Cha Mapinduzi, yanayaofanyika kimkoa mjini Meru, hapa kwenye Mkutano watu ni wengi sana tofauti na ilivyotaegemewa, kivutio kikubwa kimekuwa ni Wasira ambaye amekaribishwa kama mgeni RASMI kuhudhuria sherehe hizi.

  Pia ikumbukwe Wasira ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa (CC) hivyo amepewa dhamana ya kuwa MLEZI wa Chama hicho MKOA WA ARUSHA.
  Baadhi ya watu waliohudhuria wamesema wamekuja kwawingi kwa kuwa wanaimani na CCM na hasa kipindi hiki kigumu ambacho mbunge wao

  Mhe: Sumari amewatoka,Pamoja na hayo wengi wamsema wanavutiwa na hotuba nzuri za nguli huyo wa siasa hapa nchini, na nukuu;
  "Mhe.Wasira akitoa hotuba anaelewaka, utafurahi na kuelimika tofauti na viongozi wengine."
   
 2. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  pyaaa kama bata kanya!
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Duh.............. 'Nguli wa siasa'
   
 4. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  So hujui au unajaribu kuuliza tukuelimishe?
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Gosh, bado watu wanawekeza kwenye propaganda za mwaka 47!
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nguli? Nguli hulala Bungeni?
   
 7. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Chuki, sijauliza mkuu nimeduwaa......
   
 8. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jana kwenye madhimisho ya miaka 35 ccm arusha wanachama na viongozi akiwamo wasirra (tyson) jana walitimua mbio baada ya kukatisha kwa maandamano kwenye ngome ya cdm mambo yalikuwa hivi.

  CCM walikuwa wanaelekea mbauda njiani vijana wa cdm wakawa wanawaonyesha alama ya V sisim walikasirika na wakawakamata baadhi ya vijana wa cdm ndipo wanachama na wapenzi wa cdm wakatokeza kwa wingi barabarani na kuanza kutembeza kipigo cha mbwa mwizi na kupelekea wanaccm kujeruiwa vibaya sana na wengine kukimbizwa hospitalini ndipo wasira na viongozi wengine wakakimbilia kusiko julikana.
  Polic walikuwepo lakini waliogopa kuingilia na wakawa watazamaji tu.

  Source; ni wapo redio FM

  Nawasilisha.
   
 9. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kweli hao ni makamanda!
   
 10. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hii ishu imetokea kweli ila inasemekana vyombo vya habari kwa maana ya TV na redio wasitangaze sana.
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Machalii wa Arusha wana akili sana!
   
 12. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  My God tumefikia hapo?
   
 13. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Arusha moto wa kuotea mbali bwana
   
 14. m

  mareche JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  safi sana cdm arachuga
   
 15. k

  kiche JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huu mtindo wa ccm kupita njiani na kuanza kupiga watu kisa eti wameonyeshwa vidole ni hatari!!kwa sasa umeshakuwa kama ni desturi,mimi binafsi nilishawashuhudia ccm ndiyo uwa chanzo cha haya yote,wanapopita kwenye hayo matembezi yao (maana wao uwa hawaandamani) uonyesha dole gumba kwa watu walio pembeni mwa barabra na mara wakijibiwa inakuwa tabu,ni bora vyombo vya usalama viwe makini kwa hili kuna siku maafa yatakuja kutokea.
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongereni wana Arusha
   
 17. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Chadema mnajua kupigana! Ni chama cha fujo na kupigana kina wavuta bangi kibao kuanzia Taifa hadi mitaani!
  Hongera Chadema lazima kieleweke!
   
 18. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bangi mbaya sana
   
 19. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Natamani sana kuishi Arusha.
   
 20. F

  FUSO JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  Mwanza kazi safi, Mbeya kazi safi - Tunduma kazi safi; Iringa kazi safi; Arusha kazi moto moto; Moshi kazi safi saana,

  Singida, Tabora, Dodoma mbona mnatuangusha? mmekubali kuliwa milele? amkeniii....kumeshakucha
   
Loading...