Enzi zile za tanzania kwanza zirudi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enzi zile za tanzania kwanza zirudi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sawabho, Feb 6, 2012.

 1. s

  sawabho JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Habari Mwana JF,

  Kulikuwa na wakati ambao viongozi walikuwa na dhana ya Tanzania Kwanza, baadhi yao ni hawa hapa. Unawakumbuka wegine waliokuwa na dhana hiyo. Hebu tukumbushe, mimi nimepata hawa hapa.
   

  Attached Files:

 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hapo salim hakuwa mwarabu alikuwa mtanzania lakini baada ya ccm kwenda na mwalimu sasa tunaambiwa ni mwarabu aliyeshiriki mauaji ya karume.

  ccm hii dhambi hamtapona.
   
 3. Kakungulume

  Kakungulume JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 212
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  wako simpoooooooooooooooo
   
Loading...