Mh,JK Kuwa kama Michael SATTA usiwaonee aibu watakuacha na historia mbaya katika taifa hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh,JK Kuwa kama Michael SATTA usiwaonee aibu watakuacha na historia mbaya katika taifa hili!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Feb 6, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Mh Rais, wakati ni ukuta! Kwa mtazamo na mawazo yangu binafsi nakuomba hii nchi itazame kwajicho la tatu!
  Hii nchi na raia wake wanakutazama wewe kila kukicha wasubiria utabadilisha hali za watanzania zinazozidi kudidimia!!Nakuomba uwabadilikie watendaji wako kwa kuwavua nyadhifa zao walizo nazo mmoja baada ya mwingine,na wala usivunje baraza la mawaziri kwa wakati mmoja utashindwa kurudisha walio watendaji makini! tumia busara kwa kuwatoa mmoja baada ya mwingine kwa kila wizara utaona matokeo yake!
  Pili tazama na na watendaji wako wa idara hakuna wanachokifanya watu wanapiga mahesabu ya kujenga maghorofa na kusomesha watoto wao ulaya wanaiibia serikali!
  Mh,JK uliona msafara uliokuwa unaenda nao kila ukienda ziara??Mpaka wewe mwenyewe ukaushitukia ukataka upunguzwe je watu waprotokali hawapo??je hawakuliona hilo??
  Nijinsi gani hawapo makini na utendaji wakazi,wanajali maslahi yao binafsi Kuwa kama MICHAEL SATTA kamata kila yeyote aliyeboronga kwenye idara yake weka ndani na afunguliwe mashitaka!ya uujumu uchumi!panga safu mpya wakumbushe kuwa uliwapa semina elekezi ilikuwa na maana gani hivyo hutaki lawama wa adabishe
  Wenzio umewaamini nakuwapa nafasi lakini wao wamekupuuza na kukuangusha!!Mh,JK ulizia huku kwetu uswahilini Kilo moja ya mchele inaenda kwenye sh,2500!!watu wanateseka kweli!!
  Umeme umepanda kwakiwango cha juu na umeme wenyewe hauna nguvu!!
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  ataanzaje kujikamata mkuu?
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mh. Cobra uwe kama jongoo
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Ili kuondoa hiyo dhana inabidi avae mask na kusweka ndani wite hata kama nayeye alihusika kwa njia yoyote ile!!au kuwafukuza kazi na kuheshimu madaraka aliyonayo na kupaheshimu pale Magogoni!
   
 5. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mh, Jk awe kama SATTA?!!!! thubutu, Ajinyonge mwenyewe! Atanzia wapi?
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  safi sana i hope atatekeleza kama ulivyotaka tusubiri tuone
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Akiwa na utashi unaomsukuma anaweza kufanya hivyo!!hii aihitaji PhD!Ni yeye kuamka asubuhi yupo radio ya taifa,na kuzungumza kitakachojili hivyo tufunge mkanda!na watanzania tusilaumiane basi!!
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Teeeh teeehh nimechoka
  mwenzako ashatazama jicho la kumi anachungulia la kumi namoja kubadili katiba aendeelee we unacheza na jk la tatuuuuuuuuuuuuuuuuu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee???
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Inambidi hana jinsi ili abaki na historia ambayo itakuwa zawadi kwa familia yake asiogope maana hata wakongwe wanasema maana hata sasa hivi ukiulizwa ninani msemaji wa serikali mimi simjui maana maswala ya serikali yanasemwa na chama!na ya chama yanasemwa na serikali hapo ndo ujue hakuna nidhamu kwa rais kila mmoja anataka kujifanya msemaji wa chama na serikali wakati huo kuna kurugenzi ya ikulu ya habari kuna waziri mwenye dhamana lakini wapi kila anayejisikia kusema analindima tu!!
   
Loading...