Msafara wa ustaadh Bilal

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,113
16,025
Hapa mbezi umepita msafara wa huyu mkubwa naona sijui anatoka kufanya uzinzuzi wapi.msafara umeshiba kama v 8 sita hivi na magari ya polisi na traffic kama sita hivi.yaani sijaona haja ya makamu wa rais kuwa na msafara mzito namna hiyo
 
Mzee wa Mkasi huyo anakula pensheni yake baada kuchakachuliwa urais wa zbar acha arande tu bara yote justify pensheni yake!!!hapa si shamba la bibi???
 
ni kweli ni sera ya chama chao,lakini elewa ni pesa za walalahoi zinazotumika kununua na mafuta kuendeshea hayo magari
 
Hawana pesa za kulipa daktari lakini kukimbiza mwenge wako juu. Arusha nako kapita v8 na kama harrier 10 tupu ali mradi msafara umesheheni. Toba ilai.
 
naona bwashee mpaka amalize kipindi chake hadi vidole vitakua na shepu ya mkasi
 
Hapa mbezi umepita msafara wa huyu mkubwa naona sijui anatoka kufanya uzinzuzi wapi.msafara umeshiba kama v 8 sita hivi na magari ya polisi na traffic kama sita hivi.yaani sijaona haja ya makamu wa rais kuwa na msafara mzito namna hiyo

Hana kazi yoyote ile ikulu..wanamzuga kwa kufungua majiwe ya msingi baasi, hana kazi wanampoza kwa kuwa walimtosa urais z'bar, na yeye kwa malipizi ili kuongeza matumizi ya serikali yasiyoyalazima( ufisadi) ndo mana anatembea na wanawake wöote
 
Wakuu Mbezi ipi maana huyu jamaa nadhani ana shamba kule Bagamoyo isije ikawa anatokea shambani akawa hana mkasi .Maana nimeshangaa madaraka yale JK yuko nje Pinda anapinda na madaktari kama vile hayupo ?
 
Hapa mbezi umepita msafara wa huyu mkubwa naona sijui anatoka kufanya uzinzuzi wapi.msafara umeshiba kama v 8 sita hivi na magari ya polisi na traffic kama sita hivi.yaani sijaona haja ya makamu wa rais kuwa na msafara mzito namna hiyo

wewe wasema!
 
Back
Top Bottom