Muswada wa Marekebisho ya katiba kupigwa chini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muswada wa Marekebisho ya katiba kupigwa chini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Feb 5, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kwa kile kinachoaminika ni kutoelewana kati ya Wabunge wa CCM na uongozi wa juu wa Nchi, wabunge hao wameamua kufanya mb inu zote Muswada uletwe Ijumaa badala ya Kesho wala Keshokutwa kwa kisingizo cha kuwa Wabunge wengi wapo Mikoani kwa ajili ya Sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi.
  Taarifa za kiitelijensia ni kwamba hawakubaliani na Mapendekezo yaliyopelekwa Ikulu na CHADEMA kwa maana yana dalili zote za kuwachonganisha wabunge(CCM) na wananchi ni kubwa kwani walishabikia kwa Nguvu zote kuwa Sheria hiyo ipite ili itumike wakati wa Mchakato wa Katiba..
  Kwa Nyakati tofauti kumekuwa na upashanaji wa Habari za Siri kwa Wabunge hao ili kuupiga chini kwa Kuondoa kwa kumteua Mbunge mmoja ambae ataomba kutoa Hoja kuuondoa Muswada na ataungwa Mkono na Wabunge wengi ili wakajipange Upya baada ya kuona kuwa kuzidiwa Ujanja na Wenzao wa CHADEMA.
  Kwa Upande mwingine kambi ya Wabunge wa CHADEMA ambao wamejipanga kwa mbinu Mbadala ambao mtoa taarifa amesema bado Siri leo(jumapili) wameahirisha kikao Chao kwa kuhofia Ratiba t
  Ya Shughuli za Bunge kubadilishwa Ghafla ili kufanikisha Mpango wa Wabunge wa CCM
  Kumekuwa na Maisha ya Timing technics kati ya Wabunge wa CHADEMA na CCM ambapo inaonesha Wabunge wote wa CHADEMA kuwa makini sana katika Timing politics na Strategy plan ya Pamoja pia ni Wasiri wa Hali ya Juu katika Upangaji wa mikakati BUNGENI..
  Nawasilisha...
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  yetu macho
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hawana wabunge wa ccm ni wafa maji tu, hawana uwezo wa kumdindia mwenyekiti wao ambaye pia ana mamlaka ya kulivunja bunge. Wanatikisa kiberiti tu mwisho wa siku ni NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
   
 4. F

  Falconer JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Hhahahahah nyinyi endeeleni kuzozana. Sisi wazanzibari hatutaki tena kuwepo kwa muungano. Hiyo katiba yenu FEKi hatutaki na tutaikataa parwanja. Muhimu ni kuwa muungano umepitwa na wakati. Ifanywe kura ya maoni kuhusu muungano kabla ya kujadili katiba sababu mchakato wote huu ni njia ya kuiburuza ZAnzibar. haya waungwana, "John 8:32 Then you will know the truth, and the truth will set you free."
   
 5. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Wakati mwingine kuna mambo yanakufanya uchukie Tz . Kwani ni lazima kupinga kila kinachoungwa mkono na CDM hata Kama kina manufaa kwa Taifa.....

  Hizi Njaa zitatupeleka pabaya... Badala ya kurekebisha katiba ili tupndokane na Ombwe la uongozi... Tupate viongozi Wenye uchungu na nchi hii ....

  Tupate viongozi wanaoweza kulinda na kutumia rasilimali yetu vizuri ... Tumengangania UCCM na UCDM kisa kulinda tumbo la leo...
  Hawa ndio Watu ambao wako Tayari kuuuza nchi hii kwa takrima ya kusomeshewa mtoto Au suti...
  Mingu ibariki Tanzania...
   
 6. Non stop

  Non stop Senior Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wabunge wa CCM wakubali tu kwamba wamezidiwa maarifa na hata uchambuzi na uwajibikaji wa moja kwa moja katika taifa letu la Tanzania. CDM tunashukuru sana kwa mambo yote mnayoibua na kuyasimamia huko mjengoni.
  Tunafuatilia kwa umakini sana.
   
 7. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  ccm tafadhali wakinywe tu hiki kikombe hiki sisi hatutawacheka kwani tumeshawazoea
   
 8. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kikwete ataelekea huko Dodoma kujadili na Wabunge wake,waliopangwa kukutana nae(massele)mbunge wa Shinyanga mjini na Chenge(wa bariadi)nao wameamua kutomuona kwa kuhofia kuwasaliti wenzao
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Dawa yao hao wabunge ni 2015 tutaanzisha operation ambayo inaitwa "piga chini mgombea wa ccm"
   
 10. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Hii mibunge ya Chama Cha Magamba vipi?Yaani hawa vihiyo wanaona CDM tu ndiyo imeleta mabadiliko kwenye Muswada wao bomu waliouptisha? Mbona hata CUF na NCCR-Mageuzi nao walipeleka mawazo yao. Achilia asasi nyingine na Wananchi kwa ujumla wao.

  Hii inadhihirisha kuwa Wabunge wa CCM wana chuki binafsi na CHADEMA. Lakini pia Wabunge wa CCM wanahofu ya kupoteza Ubunge na hivyo kupoteza uiongozi wa Taifa hili come 2015.

  Mimi nashauri Rais wao Kiwete awe tough kwenye issue hii. Ni UTOVU wa nidhamu kwa Wabunge kutaka kumgomea Rais na M/Kiti wao wa Chama kwa interest zao. Huu ni uhuni na ulimbukeni wa kuonyesha kuwa CCM wana chuki binafsi na CHADEMA.
   
 11. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mimi ninajiuliza hivi hii katiba mpya tunayokusudia ni ya wana CCM au wana CDM pekee yao na si ya watanzania wote?! Mbona vyama vimeteka hii agenda ya katiba mpya. Prof Shivji alituonya kuhusu wanasiasa kuteka hii hoja ya katiba mpya. Kweli imeanza kuonekana hata kabla ya mchakato wenyewe kuanza.

  Naililia nchi yangu Tanzania, We are doomed.
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,120
  Likes Received: 10,478
  Trophy Points: 280
  Nimeamini CDM ni moto wa kuotea mbali hawa jamaa wanaintelijensia ya hali ya juu sana.
  kuna watu walidai CDM walienda kufunga ndoa kama ya cuf. Angalia sasa jinsi wanavyo wamwaga mapovu wabunge wa ccm.
   
 13. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Guys are so smart
   
 14. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mbunge mmoja kutolewa kafara na CCM kama mfano wa kuwatisha Wengine
   
Loading...