Wana jamvi,baada ya kuweka tamko lililotolewa siku ya tarehe 27/01/2012 juu ya ujio wa CCK na wachangiaji wengi kuomba kupata nakala ya katiba ya Chama Cha Kijamii (CCK),kwa heshima na taadhima...
Wadau nimeshindwa kuamua. Kati ya hawa wamama wawili ni nani mwenye mvuto kwenye jamii? Namaanisha ni nane ambaye anaweza akasimama mbele yako akakushawishi kuwa yeye ana mchango katika maendeleo...
kuna swala moja nyeti la muundo wa uchumi na nani haswa wamiliki wakuu wa huo uchumi. Tukirudi shule kidogo kwenye elimu ya msingi ya sayansi ya siasa tunaambiwa dola na serikali vinazaliwa ili...
Sauli Giliard
Tanzania Daima
SINA nia ya kukuchekesha msomaji wangu lakini nimekaa nikawaza kisha nikadhani kuwa yawezekana Rais wetu Jakaya Kikwete, hana taarifa kama...
CHECK AGAINST DELIVERY
HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, MHESHIMIWA
JAKAYA MRISHO KIKWETE, KATIKA SHEREHE ZA
KUTIMIZA MIAKA 35 YA CCM, KWENYE UWANJA WA
CCM KIRUMBA,TAREHE 05 FEBRUARI, 2012...
Na Mwandishi wetu, Dodoma
MOTO umewaka ndani ya kikao cha wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wawakilishi hao walifikia hatua ya kutoa maneno makali dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho...
Hapa Mwanza leo magari ya serikali yamejaa kila sekunde unapishana na maV8 STK inaelekea sherehe za chama zimegeuka kuwa ya serikali gharama inaonekana kubwa sana kwani madc,wakurugenzi,maRC wote...
Rais wetu hana uchungu na nchi wala hela zetu za kodi. Kila siku ni safari za nje ambao zimefika pabaya, anadhihakiw, anatukanwa na kudhalilishwa hadi na raia wa nchi anazopenda kwenda kuomba...
Nafikiri sheria ya kuunda katiba mpya ni jambo la msingi!
Nimepigwa na butwa kujua kumbe wabunge wa CCM kuharakisha kupitisha muswada wa kuunda katiba mpya walifanya hivyo ili tu kuwakomoa...
Wabunge wa CCM ni watu wa ajabu sana. Wameshasahau kwamba suala la Rais kuonana na CHADEMA lilijadiliwa na NEC ya CCM. CCM ndiyo waliomshauri Kikwete asiishie kuonana na CHADEMA bali aonane na...
Mara kwa Mara kumekuwepo na malalamiko kutoka katika taasisi mbali mbali kuwasihi Madaktari na Serikali wakae mezani wazungumze kwani wanaoathirika ni wananchi wasiokuwa na hatia ?????? Je ni...
Yafuatayo ni maoni ya Mh Mbunge Dr.HAMISI KIGWANGALLA kama ilivyokutwa kwenye fb status yake tarehe 3 june 2011.
"Ni rushwa au upofu?kamati ya kupitisha bajeti bila kujadili kwa kina ndiyo kazi...
Kwa mawazo yangu, kuna mambo ambayo Rais anapokua nje ya nchi akiulizwa ni lazima awe na majibu ya upesi na yaliyo sahihi. Kuna thread humu inazunguka kuongelea jinsi Rais alivyojiumauma...
Huku mgomo wa madaktari ukiwa umechukua sura mpya leo.. baadhi ya madaktari watumia mgomo huo kuomba rushwa kwa wagonjwa ili wawapatie dawa..
CHANZO_clouds fm.
...katika maadhimisho ya miaka 35 ya ccm huko mwanza Nape amesema wanachama 1847 wamejiunga na ccm baada ya kukimbia kwa baba yao wa kambo...Nape hajasema baba yao huyo wa kambo ni nani ila...
Nimeisoma hii habari leo kwenye gazeti la Nipashe, :: IPPMEDIA kilichonishangaza ni ulinzi ulioko katika bandari zetu kama kweli kuna usalama. Kama meli iliingia ikapakua mafuta baadae sana ndio...
Heri ya mwaka mpya bandugu
Umbea kutoka DAvos
Wa zungu wanaofuatilia mkutano unaondelea huko Davos,wanasema misaada sasa basi maana utajiri tumeukalia.
Our economics editor Larry Elliott has...
Kilichopo Zanzibar hivi sasa ni UZANZIBARI kwanza au niseme Zanzibar kwanza halafu Tanzania au Muungano.
Ikiwa kuna tishio huko Mombasa kuwa hawatapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao wa Kenya kwa...
:A S 465:Leo muda wa kuanzia saa nne usiku kuna mdahalo unaendelea Channel Ten,
kwa \title "SAKATA LA MADAKTARI, hoja iliyojengwa na ASKOFU
Gamanywa kuwa "wanajaribiwa na SHETANI" je madai haya...
Napenda niwashirikishe tafakari yangu:
Wakati EAC inavunjika miaka ya 70 watanzania tulikuwa tunawasema wakenya kuwa ni wabinafsi na kweli walikuwa wamefikia hata kuitana waheshimiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.