Je, wewe ni Ndugu au Mheshimiwa?

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Napenda niwashirikishe tafakari yangu:

Wakati EAC inavunjika miaka ya 70 watanzania tulikuwa tunawasema wakenya kuwa ni wabinafsi na kweli walikuwa wamefikia hata kuitana waheshimiwa na watukufu.Kwa kejel katika malumbano yale tuliwaita hata nyaxxx u.

Sisi tulikua tunaitana ndugu na ndivyo tulivyokua NDUGU.


Leo hii sisi tunaitana waheshimiwa na Kenya wanaitana ndugu.

Nini kimetupata?


Je, tunaweza kurudi tena? na zaidi je, tunahitaji kuwa NDUGU tena na kuachana na uheshimiwa?
 
Back
Top Bottom