Mchambuzi ahoji intellect ya mtu mweusi......very interesting? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchambuzi ahoji intellect ya mtu mweusi......very interesting?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sikiolakufa, Feb 6, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 2. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kunamambo ya msingi kutoka kwenye uchambuzi wake, lakini la msingi, ni anavyopigwa bumbuwazi la kurudia makaso ya kihistoria. Labda, kwa ufupi, nadhani ni vyema turejee na kuelewa kwamba uhuru wa nchi nyingi za kiafrika hakuweza kuvunja mifumo ya kiuchumi. Hivyo, si jambo la kushangaza kwanini tunaendelea kuruhusu kuwa sehemu ya kunyonywa kwa manufaa ya mapebari katika nchi zingine. Ikumbukwe ubepari sio utaifa, ni mfumo unaovuka utaifa bali hutumia utaifa kulinda maslahi yake.
   
Loading...