C.c.m waenda kuhiji mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

C.c.m waenda kuhiji mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, Feb 6, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  katika kusherekea miaka 35 ya C.C.M wana ccm wameamua kuhiji sehemu ambapo historia inaonesha eneo la Mwanza limewahi kuwa chini ya CCM kabla ya kukombolewa na CHADEMA. Wakipita kwa Mwenyekiti wakiwa wamevalia fulana za CCM na baadhi yao kuonekana wamevaa ndala na viatu vilivyochanika,hali inayoashiria ugumu wa maisha ya mtanzania wana CCM hawa walipita kumpa salamu Mwenyekiti wao.
   
Loading...