Mabadiliko ya wakuu wa wilaya wiki hii

Kitorondo

Member
Oct 21, 2011
61
33
Kuna tetesi za kufanyika kwa mabadiliko makubwa ya wakuu mwishoni mwa wiki hii,mwenye taarifa za uhakika atiujuze
 
Ndio Maana wamepandisha Bei ya Bia ili wapate Hela za kuwalipa kama transfer?? I am just Dreaming!!!
 
Kuna tetesi za kufanyika kwa mabadiliko makubwa ya wakuu mwishoni mwa wiki hii,mwenye taarifa za uhakika atiujuze

Mwenye taarifa zipi tena na i hali taarifa umeileta wewe!
cha msingi ilikuwa ni kutaja source ya hiyo taarifa yako!
 
kama kwel na hvi madoctor wanagoma itakuaje zile presha kwa waheshimiwa watakaopotelea kizani
 
Hatuna haja na DC,Wakurugenzi watendaji wanatosha! Isitoshe GOv haina hela,Mshahara wa mwezi DEC ulitoka AZAM,wa mwezi january sijui ulitoka wapi? SASA MADC amabo ni kada za magamba watahamishwaje?
 
kwani DC ana umuhimu kiasi gani katika nchi ambayo madaktari wamegoma?
 
Kuna tetesi za kufanyika kwa mabadiliko makubwa ya wakuu mwishoni mwa wiki hii,mwenye taarifa za uhakika atiujuze

Hizi taarifa zimekuwa za kawaida ni kama 'singo' fulani hivi!toka mwaka jana tuliambiwa kuwa by mwezi wa 5 watakuwa wameteuliwa!hata kama ni kweli wakuu wa wilaya hawana kazi yoyote,lipi bora mgomo wa madaktari kupata ufumbuzi au uteuzi wa madc ambao mwaka wa pili huu hakuna mapungufu yaliyoonekana kwa kutokuwapo kwao??
 
kama vile wangewajiba vema wangeweza kupunguza ufisadi kdg sema wengi wao kama sio wawelala usingizi wa pono. Tukipata wazuri watasaidia ktk vita hii.
 
Back
Top Bottom