Pinda afyata mkia, mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda afyata mkia, mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kada Deya, Feb 8, 2012.

 1. K

  Kada Deya Senior Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Baada ya kupimana nguvu kwa wiki kadhaa, hatimaye pinda amefyata mkia na kuamua kuwatafuta madaktari ili aongee nao wakati mwanzoni aliwapuuza na kuwakejeli, kweli maji yapo shingoni mwa serikali ya jk
   
 2. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uyo nae c alpiga biti aldhan biti huwaga inasaidia rather than maongez pole yake
   
Loading...