Hivi wa Tanzania ni nani?

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Jamani watanzania wenzangu naomba niwaulize kuwa Rais wa Tanzania ni nani?
Mgomo wa madaktari yuko kimya.
Posho ya wabunge kimya.
Ufisadi ndani wizara mbalimbali kimya.
Maisha magumu kwa watanzania kimya.
Hakuna ajira kwa vijana kimya!
Ndugu zangu kwa mtindi huu tutafika kweli?
 
Back
Top Bottom