Waziri mkuu ana kwa ana na madaktari mhimbili leo na kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu ana kwa ana na madaktari mhimbili leo na kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Feb 8, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Waziri mkuu mizengo pinda leo amekutana na madaktari bingwa ktk hospitali ya mhimbili na kesho anakutana na madaktari na wadau wote wa afya wanaohusika katika mgogoro unaoendelea hivi sasa.lengo ni kutafuta ufumbuzi wa namna ya kumaliza tatizo hilo.

  My take;wayamalize,tunakwisha.

  source:usiku wa habari Tbc saa4 nait.
   
Loading...