Waliokufa wakati wa mgomo serikali itakana kuwa haikuua?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Kwa jinsi mgomo wa madaktari ulivyochukua muda mrefu huku serikali ikisusua hata kukwepa kuongea nao zaidi ya kuwatisha, kuna watu waliokufa kutokana na hili. Hakuna ubishi kuwa waziri mkuu Mizengwe Pinda amejaribu kuutuliza mgomo. Je hatua hizi zingechukuliwa mapema madhara mengi yasingeepukwa? Je kwa namna hii serikali ya Tanzania siyo muuaji? Najaribu kufikiri tu. Ukitaka kujua inaumiza kiasi gani jaribu kuvaa viatu vya waliopoteza ndugu zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom