Watanzania na maisha bora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania na maisha bora

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Generalkaduma, Feb 12, 2012.

 1. Generalkaduma

  Generalkaduma Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania tupo? Tujifunze kutokana na shida tunazozipata, serikali inatufanyia nini? Tupo wapi kutokana na ilani ya chama tawala.

  Naamini ilani ya chama imetokana na wanachama husika na basi kama ndo hivyo na ndo iliyotufikisha hapa kwenye hali mbaya ya kiuchumi basi si chama husika maana ndo serikali husika inayoratibu.

  Nakumbuka msemo wa ilani ya maisha bola zaidi, najiuliza ndo haya au?
  Kazi ipo watanzania.
   
 2. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwani huyaoni ndugu?nakumbuka uyu Baba mwanaasha alipingwa sana na Baba Maria,aliambiwa ni mdogo asaibiri lakini sisi kwakuwa tunakasumba ya kutofikiri kwa undani tukafikiri Baba mwanaasha ni mdogo kimwili kumbe hana uwezo wa kuongoza hata familia yake,(Mf:mwanaasha)Haitoshi Dr aliyasoma na si kupewa akatutahatharisha kuwa huyu jamama hafai hata kuwa kiongozi wa ukoo hatukusikia,Sasa hivi tunathubutu kulalamika!!waTZ ni sikio la kufa halisiki dawa na bado kuna wanao jifanya makasisi na wataam wa minada.wananchi tunawapinga wao wanapokea na kuwakumbatia,hakika laana hi haita haacha kamwe,LOWASA,KIKWETE,MALACELA,ANNA KILANGO,ANNE MAKINDA,ni wakuogopa kuliko EBOLLA.AMEN
   
Loading...