CUF wana mtaji wa kura ngapi arumeru mashariki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF wana mtaji wa kura ngapi arumeru mashariki?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by DALLAI LAMA, Feb 10, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kila kiongozi wa Cuf alipokuwa anaongea na media kuhusu uchaguzi wa igunga akiwemo Mtatiro kauli hii ilitumika! 'TUNA MTAJI WA KURA 11000' wakaishiwa ktk uchaguzi.je arumeru mashariki bw. mtatiro kama katibu mwenezi ANATUELEZAJE?
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  KAFU hawana jeuri ya kwenda kule Arumeru kwa sasa. Labda kama ni mpango wa kwenda kugawa kura.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wafu wamefufuka?
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Una maana CCM B?
   
 5. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Jamani mie napita tu!
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Nina safari ya Arumeru wiki ijayo. Nitafanya kazi ya kuhesabu Misikiti alafu nitakuja na jibu la swali lako lililotengeneza thread
   
 7. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Eeeh! Kwa niaba ya haooo wahusuka Eeeh! Kwa kuwa tulitenga tsh. 300milioni Kule Igunga tukagalagazwa Eeeh! Ukizingatia mufumuko wa bei na muhimu zaidi viMIJENGO havijakamilika eeeeh! Hasa kwa mketo yuko kwny finishing pande za mbagala na Julius mwny bado kwa kweli kijigorofa chake hakijafika mbali....naamini 500milioni itatosha kwa kweli.....Eeeh! KUHUSU MTAJI WA KURA KWAKWELI HIYO SIO PRIORITY...Tutawaachia tu hao CcMfsd na CDM teh teh! Usisahau helkopta itakuwepo kwa kuzugia japo siku Mbili za mwisho Kabla ya uchaguzi ili tubariki ufisadi wetu mdogo ndani ya "Chuki Ubinafsi na Fitna ooooh! Soree CUF"
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mmeshaanza chokochoko jamani, hebu acheni kuwatajataja marehemu isijemizimu yao kuwasumbua bure.
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,592
  Likes Received: 4,697
  Trophy Points: 280
  Ili kudumisha ndoa CCM itamuachia jimbo mkewe CUF,hii ni zawadi ya Valentine day toka mume kwenda kwa mkewe.
   
Loading...