Je?serikali imeweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je?serikali imeweza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The third, Feb 11, 2012.

 1. T

  The third Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kauli mbiu çcm na serikali yake maisha bora kwa kila mtanzania tuliyo haidiwa tume kwisha yapata au wana subiri uchaguzi ufike waje na kauli mbiu nyingine ili kutu danganya ili wapate kura za watanzania?
   
 2. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hata wao wenyewe wanashangaa ni kwanini waliahidi !
   
 3. B

  BMT JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  staki hata kckia kaul mbiu za ksanii hzi mm,jk amalze mda wake aondoke watanzania wameshakata tamaa
   
 4. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  wababaishaji tu. tunarudi nyuma kwa kasi ya 1500km per hour
   
Loading...