Mkutano wa Wabunge wa CCM na JK Usiku wa Ijumaa 10 Februari 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa Wabunge wa CCM na JK Usiku wa Ijumaa 10 Februari 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Donyongijape, Feb 11, 2012.

 1. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
 2. Dr Klinton

  Dr Klinton Senior Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh....... Wajameni hebu tumwagieni haya Habari aka news bin news
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,514
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  FMEs hapati za jikoni siku hizi!! Sijui wamemtosa magambas!
   
 4. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Among other resolutions, I am tipped they have agreed to force JK out of party's chairmanship before his period expires. The reason for their lost confidence in JK is partly due to on the way he handles the ongoing process of constitution-making accusing him of siding with Chadema by subscribing to their proposals even without consulting CCM. JK vainly attempted to defend himself over accusations when was given chance to do so. The NEC is due to conduct a meeting at the end of this month to contemplate the matter which will perhaps see the arrangement for earlier party elections.
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mbona picha ni za tarehe 25/6/2006?. kwa ufupi picha zimechanganywa. baadhi ni dar nyingine ni dodoma. sijaelewa bado.
   
 6. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  mimi nimeshutushwa na picha inayosema katibu wa itkadi na uenezi capt chiligati..nway, yote kwa yote.. Ukitoa hiyo,picha karibu zote zinaonyesha element ya kuwa hiki kikao ni cha jana...CHA MUHIMU hapa si picha bali ni NINI KILIZUNGUMZWA HUMO HIYO JANA??. Wadau wa jikoni..mwagikeni
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 8. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sweet dreams baby!
   
 9. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,514
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  Tuna democrasia changa sana kuweza kuamini tutabaki salama kwa Rais kutokuwa Mwenyekiti wa chama! Ni rahisi sana kumtoa madarakani mambo yakiwa hivyo.Mh Kikwete akiruhusu hilo nitamshangaa! Nyerere aliona mbali na mazingira hayajabadilika!
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Lets give Radhia the benefit of the doubt.........................!
   
 11. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  walikua wanaimba taarabu kama kawaida yao
   
 12. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Nilisema kipindi flani hapa jamvini. Uchaguzi huu wa CCM lazima umvue gamba Baba Mwanaasha au Baba Fred. hawawezi kubaki pamoja mpaka 2013. Huu mpango unaratibiwa na Baba Fred. ngoja tuone itakuwaje maana najua ****** lazima afunguke kulinda mkate wake. kazi ipo
   
 13. j

  jigoku JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu Pasco hata wewe hujanasa?tumwagieni jamani kilichojiri jana huko Dodoma,siamini kama JF inaweza kukaukiwa kiasi hiki
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,514
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  Mutuz Le baharia Big Show @ Dodoma,Bongo! Vipi? Nyama za mnadani zimekuchanganya nini!
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  peleka uongo wako kwa hao ******** wenzio.
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kama hamkuweza kupata kilichozungumzwa ni bora kunyamaza kuliko kuleta uongo hapa na upotoshaji kwa wananchi, wanachama na wapenzi wa CCM. Na muwe wa kwanza kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti kama hamtafukuzwa uanachama kama wenzenu akina KAFULILA na HAMAD RASHID.
   
 17. D

  DATOGA Member

  #17
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sasa Mbowe afukuzwe kafanya kosa gani chamani?
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  after yale ya ******* (mag@mba@) kufeli, sitegemei chochote from NEC, CC, vikao na wabunge whatsoever... CCM has reached that senile stage
   
 19. Rocket

  Rocket Senior Member

  #19
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawana jipya zaidi ya kulipana posho ,wabunge wajanja wameshaondoka Dom two days ago
   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakuu mkutano huu haingiki Waziri Mkuu waeneo la Zanziba bwana Shein ? Mbona sijamuona au huu ni wabara pekee na yeyeanakuja baadaye ?
   
Loading...