measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,406
MOU imesainiwa leo kati ya serikali, wilaya ya Babati na Hospitali ya Dareda iliyo chini ya Jimbo katoliki la Mbulu, hii ni kuwezesha wananchi kupata huduma nafuu na walio chini ya miaka 5, wajawazito, wenye magonjwa sugu na wazee kupata huduma bure. Source: TBC News 8m