wabunge na wakazi wa mjini angalie star tv,mjue watu wanavyoangaika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge na wakazi wa mjini angalie star tv,mjue watu wanavyoangaika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Feb 12, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ila sijui kama viongozi wa taifa ili na vyama vya kisiasa kama wana roho hai.au pengine hawajui ugumu wa maisha ya mtanzania.tazameni star tv kipindi cha medani za kisiasa na jamii,wananchi wanahali mbaya sana.mijini 2mekalia maneno na ushabiki wa kisiasa na umaarufu wa watu.jamani tuweni na huruma
   
 2. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  So tukiangalia ndo matatizo yatapungua, chamsingi hapa ni kufanya kazi kwa bidii ili kukabiliana na mfumko wa bei
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Waziri wa fedha Mustapha Mkulo alikwisha tuambia kuwa kila mwananchi abebe msalaba wake kwa hiyo hapo hawawezi kupata machungu yoyote.
   
 4. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,648
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Sie wa satilet Dish hatuwapati wajameni for a week now!
   
Loading...