MH, hivi wabunge wa CCM, wanaogopa nini kwa kupokea baadhi ya marekebisho ya vipengere vya katiba.
Waliipitisha wakiwa zaidi ya 200 na zaidi ya masaa 6 hadi 12 yalitumika. Waliaswa madudu...
Mwaka wa tano wa kutawala kwake Rais Jakaya Kikwete, Amani Karume alipokuwa Rais wa Zanzibar, na Ali Karume, ndugu yake, Balozi wa Nchi, na Mizengo Pinda Waziri Mkuu wa Tanzania, wakati wa Uspika...
:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa Chama...
Prof. Lipumba yuko nchini merakani kwa mwaliko wa taasisi ya National for Democracy endowment, ameombwa kutoa mada juu ujenzi ya taasisi ya kidemokrasia nchini Tanzania; mkutano huu unahudhuriwa...
Feb 11
Taswira Mbalimbali Za Mkutano Wa Rais Jakaya Kikwete na Wabunge Wa CCM Mjini Dodoma
Written by haki | // 0 comments
Meza kuu kabla ya kuanza kikao
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya...
Ni kitu cha ajabu kwa serikali ya CCM kushindwa kuiteketeza chadema inayoelekea kuchukua nchi 2015 mbali kuwa na taasisi zote za mashambulizi. kitu ninachokiona watumishi wa serikali na wanachama...
Nimefuatilia kwa karibu campaign za ccm katika chaguzi mbalimbali na nimebaina kuwa katika majimbo yote yenye utajiri wa madini na rasimali nyingine za thamani ccm hufanya kila mbinu kuhakikisha...
LEO tumechapisha habari zinazomnukuu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akishangazwa na kauli iliyotolewa katika Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Mji Mkongwe...
Nipo Arusha nilikuwa napitapita Arumeru kujua hali ya hewa huko. Vijana wengi wanalalamika kuwa walikuwa hawajajiandikisha na wengine walipoteza vitambulisho na wengine wamerudi kutoka mererani na...
Wakuu,
Kamanda Rogers Luhega,aliyekuwa mugombea ubunge jimbo la Geita 2010 kwa tiketi ya CDM,katibu wa BAVICHA wilaya ya Geita bwana Vicent Paulo maarufu kwa jina la Dear Mama,diwani wa kata ya...
A gas plant in Tanzania. Picture: File By JOHN MBALAMWEZI
Posted Saturday, February 11 2012 at 17:07
Tanzania and Canadian oil and gas company Wentworth Resource Ltd have reached an...
Kwa kazi inayofanywa CHADEMA kwa kwa kweli mnapaswa kupongezwa. Lakini nachukua nafasi kumpongeza Tundu Lisu hakika umeonyesha uajasiri mkubwa na sio mwoga pamoja na kushambuliwa kila upande na...
Habari za JUMAPILI wanaJF;
Leo tunaangazia harakati za makundi ya Wanaharakati NCHINI katikati ya upepo huu wa siasa zinazovuma NCHINI
Tunazungumza na
Marcus Albany - Policy forum
Ussu Malya -...
Uchaguzi ktk jimbo Uzini unafanyika leo Jumapili Feb. 12. 2012
Vyama vitano vinashiriki ie CHADEMA, CUF, CCM TADEA na ...
Tunaomba walioko huko watupe Update za kinacho endelea
Asante naomba...
Awali, Pinda alitangaza kuwasimamisha kazi Nyoni na Dk. Mtasiwa na kusema amefikia hatua hiyo kutokana na kupokea malalamiko mengi dhidi yao.
Alisema zipo tuhuma mbalimbali dhidi yao zikiwemo...
NI juzi tu mh pinda alimkataa Dk. Ulimboka kuwa si daktari, tusome habari hii ya tanzania daima kujikumbusha
Kiongozi wao si daktari
Katika hatua nyingine, Pinda alisema kuwa katika uchunguzi wao...
Nchi iko vitani, hivi ndivyo limeripoti leo gazeti la majira likimaanisha kuwa Tanzania hupata misaada kama nchi zilizovitani huku wabunge wakiikosoa serikali kwa jinsi inavyotumia misaada hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.