Hongera wanahabari, wanaharakati na wapinzani

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
6,376
3,823
Hivi bila ya wanahabari na wabunge wa upinzani na hata wanaharakati hii nchi ingekuwaje? nadhani ufisadi na ubabe ungetisha. PIA nampongeza sana Mheshimiwa Rais Kikwete kwa kuukubali ukweli kuhusu mswada wa katiba mpya
 
Ndungu yangu kuna baadhi ya wana habari ni janga la kitaifa, kuupamba ufisadi kwao ni tija, kuwazushia na kusambaza propaganda hasi kwa wapambanaji dhidi ya ufisadi kwao ni mafanikio. Tunawajua walio wa zizi letu
 
Umesema yote Mkuu, but kwa wale waliopo zizini kwetu pongezi hizo ziwafikie
 
Wapo wanaharakati, wanasiasa na wanahabari ambao ni janga la kitaifa. Wengi wao wanafanya hivyo kwa kukosa walichokitarajia wakati wa uchaguzi mwaka 2010 na sasa wamegeuka kuwa "critics of negative attitude to the government".
 
Back
Top Bottom