Kwa ulivyotia aibu ungekuwa baba yangu ningehama nchi mh waziri mkuu Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa ulivyotia aibu ungekuwa baba yangu ningehama nchi mh waziri mkuu Pinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Feb 11, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  kama kuna waziri mkuu vitasa waliowahi kuipitia nchii basi wewe ni kitasa kibaya ambacho hata waweke surlii akikamati kabisa kwenye mlango

  tar:........................siku..............................saa.......................
  Ndugu zanguni nimepokea kwa masikitiko tuhuma zinazomkabili mh katibu wa nishati na madini..nimekaa na tume nikaongea nayo kwa kweli kuna umuhimu wa uchunguzi mkubwa kufanyika kwenye wizara ile,,mbaya zaidi zinaonekana saini za wabunge ambao awakupokea hizo hela ....katika yoteee mimi kama waziri mkuu sina cha kufanya kwa kuwa katibu anateuliwa na rais..laiti ningekuwa na madaraka hayo basi na kazi ingeisha leo hii..sasa basi nimeongea na mh rais huko nje anarudi karibuni ameomba tuwe watulivu anakuja na mimi kama mimi nimetoa ushauri wangu natumaiani ataufwata,,,,narudia tena laiti ningekuwa na uwezo wa kuteua makatibu basi leo hii aisngekuwa kazini mh jairo.....kwa hiyo ndugu zanguni naomba tuwe wavumilivu

  ----------------------------xxxx----------------------------xxxx-------------------------------------xxx------------------------
  tar 30jan 12 ni siku sitoisahau kwa kuwauzi wafipa wote duniani akiwemo baba na mama yako na watanzania kwa ujumla kwa matamshi haya

  ""nasema tumekaa tumevumilia tumechoka nimekuwa nikiagiza watu kadhaa kukutana na hao ma dk naona hawana mpango wa kuacha huu mgomo sasa basi kama serikali tumeona na kuagiza yafuatayo mh waziri wa afya kuanzia kesho asbh yoyote asiefika kazini basi ajijue amejifuta kazi mwenyewe....naomba tunapotoka hapa kesho asbh uhakikishe umefanya uhakiki kamilifu nani amefika nani ajafika kazini..atuwezi kuvumilia kuona watu wanakufa kwa vitisho vya baadhi ya watu wachache...nawashukuru sana kwa kunipa muda wenu sijui alikuwa anasikilizwa na wehu ama lah

  Majuzi hukooooooooooooooooo hii ndio kichekesho cha mwaka nasema hivi mbona mnataka kuharibu hotuba yangu hata vigelegele sijui alijua yuko ufipani..inaonekana akifika kule hadi leo wazee wanampigia vigelegele..nasema hivi mbona mmenuna hata vigelegele najua mmekaa kwa hamu kusubiri nitakachosema ninayo mambo mazuri natumaini tukitoka hapa tutakuwa na amani

  Nimeka anikatafakari nikaona halii hii mpaka kufika hapa kuna baadhi ya watu wanatakiw akuwajibika..sasa basi kwa kuwa swala la katibu mkuu na mganga mkuu liko mikononi mwangu nimeamua kuanzia leo hii kuwaondoa kabisa na kuagiza doller kuanza maramoja kuhakiki tuhuma nilizoletewa na ma dk kuhusu katibu wetu na weningineo huko juu..

  Kuuhusu waziri na naibu wake kwa kweli kama wameguswa na vifo na yoote yaliotokea basi na busara zitafwata mkondo wake ..mimi kama mimi nitampelekea maoni yangu yule aliewateua then kutoka hapo wataona wenyewe nini cha kufanya..

  Unajua ukiona kila siku mtu anatuhumiwa huyo huyo ukiwa kama binadamu usipuuze hata maramoja kumbuka moja ya tuhuma ni vyombo vibovu vya hiv nawangapi wamekufa kwa jupimwa na kuonekana wanao kumbe lah...mbaya zaidi taarifa anilizonazo kuna vifaa vya figo vibovu kutoka china vimeagizwa mara ya kwanza watu wakalalamika badae mtu huypo huypo kaagiza mara ya pili..tukasema hapana hapa tunaitaji uchunguzi wa doller na ikipatikana hatia basi tutajua nini cha kufanya..

  ndugu wapendwa wanangu napenda kuwahahakikishia kama mzazi hakuna atakaewafukuza hata kidogo ...najua wengi watauliza hili lakini wajue tumetumia garama kubwa sana sana kuwasomesha mpaka kufikia hapo mlipo napenda kuwahakikishia nimeongea na mwenyekiti wenu dk ulimboka kuna mambo baadhi tunjitahdi kuyamaliza tulioshindwa mtupe muda ,,,

  Pamoja na hayo tunwaomba jamani mtupe mwezi mzima tukajipange lakini kesho muingie kazini tukawatibu wale wagonjwa jamani....
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  Hivi
  blandina nyoni aliemteua waziri mkuu
  na tuwe wavumilivu kuhusu jairo ,leo hii kuna kesi yoyote kuhusu jairo
  sio kwamba nawashtua mashemeji ila sio kabisa yule kama mmeambiwa kwa mdomo nendeni ofisini mkaandikishane na ikishindikana wekeni kila gazeti waziri mkuu adanganya ma dk....

  nasema hivi nikikumbuka usemi wake kwa jairooo na alivyogeuka kwenu tar 30..mara akawageuka watanzania aliowatangazia mmejfukuzisha kazi. nauliza alipoongea na ninyi akujua anaongea na ma dk walioachishwa kazi???

  Nahisi mh anaitaji msaada sehemu fulani sio hivi hvii najua lakini mama tunu kuna kazi kidogo unatakiwa kumsaidia mzee wetu huyu ..ingawa anageukageuka tunaendelea kumheshimu akuna jinsi src mnajua vyanzo vya blandina /jairo mmeambia hapoo juu chanzo ni nani mwenye macho aambiwi tazama
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,012
  Likes Received: 3,197
  Trophy Points: 280
  aisee!
   
 4. y

  yaya JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hongera kwa kutukumbusha kauli tata za mkuu mtendaji wa kaya.
  Only in Tanzania, that this can happen again and again and no body cares!
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hamna kitu pale hata watoto wake pia vilaza kuna mmoja alidisco pale udom mwaka jana
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Teh,,,,aliwatakia heri ya mwaka mpya madaktari.Mwaka mpya februari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. deadteja

  deadteja JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli Anko kanitia aibu mpaka mimi mpwawe! Laiti ningekuwa Namsi (Mama Ivan) au Mkalo au hata Edwiki maana naye mkubwa sasa, ambao ni watoto wa kuzaa yeye mwenyewe, ukweli nngekimbia inji hii. Aibu kubwa kwa familia ambayo ndo inamuangalia kama Mungu- mtu!
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo shida ya watanzania...kila kitu huwa mnakosoa na kuendeleza marumbano hata pale ambapo mambo huwa tayari yamepatiwa ufumbuziu... achenu zenu bana! hili limepita tujadili mengine.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kwamba wazazi wako na ukoo wako mzima hata shule hawakukanyaga. Ni wewe tu uliyeweza hata kujua kuwa kuna kitu kinaitwa jamii forums
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  nilijua kompyuta ya didy pekee kumbe hadi huko
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  PDiddy wewe bana vipi? Umesahau siku Kikwete aliposema "Ukitaka kula, kubali uliwe kidogo?"

  Watu walipocheka sana akaongeza "SINA MAANA HIYOO."

  Pinda amesema "SIKUWA NA MAANA HIYO......." Ila usiulize alikuwa na maana gani sasa?
   
Loading...