Wabunge wa ccm na tikitaka za katiba- ni kwa ajili ya nani?

ANTA

Member
Nov 20, 2011
66
7
MH, hivi wabunge wa CCM, wanaogopa nini kwa kupokea baadhi ya marekebisho ya vipengere vya katiba.
Waliipitisha wakiwa zaidi ya 200 na zaidi ya masaa 6 hadi 12 yalitumika. Waliaswa madudu yaliyomo, Kikwete
amegusia kidogo na kuyaona hayaepukiki kurekebishwa,na siyo yote, leo hii wanataka kuikimbia kisa ushauri ulitolewa
na CHADEMA. Wameichomoa bungeni leo na kutoa sababu za kitoto ili wakajipange. Haya yote wanayafanya kwa
ajli ya nani-WAKAE MADARAKANI AU NCHI YETU?. Ilikuwa isomwe leo bungeni, wameparaganyika, ikabidi iondolewe kimizengwe.
 
Unajua tena matapishi yana kinyaa - kwani walishaubariki muswada uwe sheria
Ahsante kwa kunielemisha, niliimanisha muswada wa katiba. Ila umenijibu kwa lugha kali. Nadhani ulielewa ila ukaamua kunibomoa kiivyo. sawa lakini. kama umekuwa seniour expert member kwa comment za uchafu kama hizo, basi nakuandalia zawadi. Sijui ukoje, mi mdogo wako, bado ni member tu. Tusijibiane kwa makombora ya maudhi, tufundishane.
 
Uwoga wa wabunge wa CCM ni kwamba hoja za chadema zikiipitishwa tu, wabunge hao watakuwa katika hali ngumu sana kutetea majimbo yao 2015 kwani suala la katiba litatawala sana uchaguzi mkuu wa 2015. CCM mbele ni kaburi, nyuma ni kiza. Hakuna jinsi.
 
Uwoga wa wabunge wa CCM ni kwamba hoja za chadema zikiipitishwa tu, wabunge hao watakuwa katika hali ngumu sana kutetea majimbo yao 2015 kwani suala la katiba litatawala sana uchaguzi mkuu wa 2015. CCM mbele ni kaburi, nyuma ni kiza. Hakuna jinsi.
uLIVYOTOKA KTK PICHA NI KAMA UMEVAA GAMBA LA KIJANI, NILIANZA KUWAZA NI MMOJAWAO KUMBE NI MCHAMBUZI KWELI.
 
Back
Top Bottom