Uchaguzi wa Jimbo la Uzini LEO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa Jimbo la Uzini LEO

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Duble Chris, Feb 12, 2012.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Uchaguzi ktk jimbo Uzini unafanyika leo Jumapili Feb. 12. 2012
  Vyama vitano vinashiriki ie CHADEMA, CUF, CCM TADEA na ...

  Tunaomba walioko huko watupe Update za kinacho endelea

  Asante naomba kuwasilisha
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  napata shida kweli na jina la hilo jimbo...:eyebrows:
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,417
  Trophy Points: 280
  kila la kheri wapiga kura wa itikadi zote
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  yaah !! tunawatakia uchaguzi mwema na wa amani kuanzia kupiga kura, kusubiri matokeo , kuyapokea matokeo na hata kuishi kwa amani kuu baada ya uchaguzi huu
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Huu Uchaguzi hatukupata Habari zozote ni kwasababu ilikuwa ni Visiwani Pemba? Hii inaonyesha jinsi Uduni wa waandishi wetu wa habari Ufinyu wa fedha, Ufinyu wa habari ni lazima waambiwe hawana utafiti wowote kwahiyo habari sio news break kila mtu anaandika hicho hicho, na magazeti ni tofauti - wamechoka angalia mgomo wa Madaktari Waandishi wetu hawakuwa wachunguzi wa kupata mpya

  Walikuwa tu wanasema kiongozi wa Madaktari kajificha, hawajui sababu na hawajua madai ila wote wako upade wa kusikiliza serikali itasema nini; Oh RAIS, kaondoka kaacha Mgomo as if RAIS ndio mtu pekee atayesuluhisha masuala hayo...

  Tunasikitisha Sana
   
 6. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Uzin.i
   
 7. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ina maana hakuna mwa jf huko atupe pamoja na mambo mengine ila pia na majina ya hao wanaogombea!
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  We hutaenda mkuu? Au kesho? Karibia na matokeo..
   
 9. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Naamini uchaguzi huu 'UZINI' utachochea maendeleo na demokrasia Zenj.ONE STEP FOWARD MOVEMENT TO CDM!
   
 10. v

  vngenge JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ktk uchaguzi ambao waandishi wa habari hawajatutendea haki ni pamoja na huu.
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndo maana namkumbuka kamanda Regia, Oh mungu amulaze mahali pema.
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,417
  Trophy Points: 280
  siendi kaka..wewe unaenda? kufanya nini ?
   
 13. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati unatuleteaga updates kwenye matukio kama haya... Anyway kama huendi... Ila kuna Candid Scope.. Naye hutu-update katika matukio ya namna hii..
   
 14. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Maga**ba safari hii hayajatoa fedha kutosha kwa ajili ya propaganda ndiyo maana habari zinakuwa finyu sana!!
   
 15. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kila la kheri CDM!
   
 16. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Vijana Unguja na kote huko Pemba, tupeni raha ya kustaajabisha CCM katika uchaguzi huu.
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Kwa nini mkuu?
   
 18. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Jamani mlioko huko tunawategemea habari kutoka kwenu.
   
 19. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Malaria Sugu tupe taarifa
   
 20. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  hakuna ishu huko
  wenyewe wamelala
   
Loading...