Hivi jairo yuko wap siku hiz?

Pafyum

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
208
112
hiv jamana Jairo yuko wp saiz? manaake tuliskia kapewa likizo kupsha uchunguz na baadae akateuliwa katibu mkuu mwngne but hatujui Jairo yuko wp!
 
Alistaafu kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wa umma.
Vipi, unataka kumpa dili?
 
Anatanua kitaa na vimwana!wanatumia vizuri zile hela walizokusanya/iba.
 
Mada ni nzuri lakini unatupa taabu kutamka hiyo ID yako sisi wenye wake
 
(Jairo) Unataka kunipa kazi?
Nisaidie ntaku pm
au nipigie kwenye 0755098159
 
Back
Top Bottom