kikao cha mwenyekiti wa ccm na wabunge wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kikao cha mwenyekiti wa ccm na wabunge wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Feb 12, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0  Feb 11

  [h=1]Taswira Mbalimbali Za Mkutano Wa Rais Jakaya Kikwete na Wabunge Wa CCM Mjini Dodoma[/h]

  Written by haki | // 0 comments

  [​IMG]
  Meza kuu kabla ya kuanza kikao
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini kuzungumza na wabunge wa CCM katika kikao chake na wabunge hao kilichofanyika jana jioni Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.Wengine kutoka kushoto ni Spika wa Bunge Anne Makinda, Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama na Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa

  [​IMG]
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa na Katibu Mkuu Wilson Mkama wakimsikiliza Mwenyekiti ya Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Peramiho, Mh Jenista Mhagama akiongea kabla ya kikao kuanza
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Wabunge wa CCM, katika kikao chake na wabunge hao jana katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.

  [​IMG]
  Mbunge wa Simanjoro Ole Sendeka akitoa hoja zake katika kikao hicho.
  [​IMG]
  Pia Said Mkub a akazungumza kwa kina kutoa mchango wake ili kuboresha mambo
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Sehemu ya wabunge wa CCM
  [​IMG]
  Wabunge wa CCM wakiwa mkutanoni White House
  [​IMG]
  Mkutano ukiendelea.Picha na IKULU
   
 2. j

  jigoku JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Picha sawa lakini nini kilijiri?kwa anaejua anisaidie mwenzenu sijapata habari kabisa
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Magumashi matupu! Tubadili vazi sasa maana linatuchanganya
   
Loading...