Pinda jasiri sana kamzidi hata lowasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda jasiri sana kamzidi hata lowasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by cjilo, Feb 11, 2012.

 1. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  NI juzi tu mh pinda alimkataa Dk. Ulimboka kuwa si daktari, tusome habari hii ya tanzania daima kujikumbusha
  Kiongozi wao si daktari

  Katika hatua nyingine, Pinda alisema kuwa katika uchunguzi wao walibaini kuwa kiongozi wa mgomo, Dk. Ulimboka alihitimu shahada ya udaktari katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2004 na kupata usajili wa muda No. 2022 wa Baraza la Madaktari mwaka huu na kupangiwa internship Muhimbili.
  Alisema kuwa Novemba 2005, aliongoza mgomo wa madaktari nchini na usajili wake ulisitishwa na kushtakiwa mbele ya baraza hilo kwa ukiukaji wa maadili ya taaluma ya madaktari kwa kutishia na kufanya mgomo.
  Mwaka 2006 Rais alimsamehe na hivyo kurejeshewa usajili na baraza na kuruhusiwa kuendelea na internship.
  "Katika kumpa taarifa za msamaha wa Rais, Wizara ya Afya na Baraza la Madaktari walimtaka Dk. Ulimboka kutojihusisha na migomo au suala lolote kinyume na maadili ya udaktari ambapo Februari 2, 2007 alikiri sharti hilo kwa maandishi.
  Hadi sasa hakuna taarifa kama alimaliza internship kwa kuwa hajawasilisha cheti cha kumaliza mazoezi hayo na hatuna taarifa anafanya kazi wapi ila si mtumishi wa serikali na hajasajiliwa kama daktari, alisema Pinda.
  MYTAKE
  kwa mtazamo wangu pinda ameonyesha ujasiri wa kujidhalilisha sana kama waziri mkuu kutosimamia kauli zake
  [​IMG]
  NAWASILISHA
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,753
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Unamsikia Lowassa au unamjua? For your information, notice that it was Lowassa who instructed Pinda to act.
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Halafu alipoingia ukumbini aka shake hands na Dr.Ulimboka.
  SWALI: Alipokea salamu kwa mikono miwili akiwa Dr.Ulimboka kama nani kwake?
   
 5. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  alimpa instructions za kufukuza madaktari au kuwalamba miguu?
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  msimseme sana pinda jamani, mtaacha amwage chozi.
  mmesahau alivyosema znz sio nchi na wazanzibar walivyocharuka bungeni akakana kauli yake???
  jamaa anatia huruma, ni bora basi asiwe mkurupukaji wa kuongea.
  rais mkurupukaji, waziri mkuu mkurupukaji, loh!
   
 8. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 919
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Pinda huyu huyu Bungeni mwaka jana alikiri kuwa hana uwezo wa kumsimamisha kazi katibu mkuu wa wizara nishati, haya huyu wa Afya uwezo kautoa wapi?

  Ajabu nyingine alishawatangazia kama hawatorudi kazini by ile j3 ya pinda them automatically watakuwa sio watumishi wa umma tena, watu walishajifukuzisha kazi anaendaje kuongea nao kama wafanyakazi wa serikali!?

  hakika kama kuna watu wana dhamana zisizo wastahili basi Pinda ia among them
   
 9. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 919
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Lowassa kama Pinda tu, alikuwa na amri zisizotekelezeka badala yake zinakuwa ni tatizo juu ya tatizo:

  Unakumbuka fomula yake ya kuondoa foleni jijini Dar eti njia tatu asubuhi saa moja hadi saa tatu na jioni saa tisa hadi saa kumi na mbili. Katoka tu madarakani na fomula ikafa, ilikuwa inawatesaje traffic. Basi tu walikuwa hawana uwezo wa kumwambia BOSSS this formula will not last long. it will fail.
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,987
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Wewe umeona Pinda kafanyaje?

  Kawafukuza ama amewalamba miguu??
   
 11. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,412
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  aliwafukuza halafu akawalamba miguu,sasa ni kipi alichoambiwa na lowasa?
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Na ile kudanganya bunge kuhusu vurugu za Arusha ndo makinda akatumia wadhifa wake kumzima Lema, eti yule ni kama baba yake kwani sisi tumewatuma pale kama ndo mkubwa awadanganye wa tanzania?
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  jairo si swaiba wa jk ndo maana hakuwa na uwezo wa kumsimamisha
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  isitoshe iliwacost wengi kwa kugongwa kutokana kuvuka kwa mazoea ya kuangalia upande mmoja wanapovuka doube road
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  miguu hana ujasiri wa kuwatimua wanasubiri watu wasahau afu awarudishe
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pinda kapinda kweli
   
 17. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 992
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  walifika kazini wakasaini rejesta ya mahudhurio lakini hawakufanya kazi (so technical) wangejifukuzaje?.
   
 18. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MP Anachezeshwa mdundiko.
   
 19. N

  Njele JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0