Zitto karibu NCCR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto karibu NCCR

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jan 31, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  :fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
  La muhimu ni kuwa Chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya NCCR kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania kwa kishindo.

  Najua wapo watakao beza rasimu hii ya kumkaribisha mheshimiwa Zitto katika mageuzi kwani si jambo la kulitegemea sana kwa upande wao ,waonavyo eti wamemzibiti ,nawambia huko ni kujidanganya.
  Kuhusu Mwenyekiti wa NCCR aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa Chama.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... kijana mdogo kama huyu (Mwiba) anapoanza kufikiri kama ajuza ujue kuna tatizo katika kijiji anamotoka!!
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mhmm, vipi yule mliyemfukuza soon! kijana ambaye pia alifukuzwa Chadema na kukimbilia NCCR
   
 4. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Hizi ni siasa? au ni nini? Huu ni wakati wa kukazia buti, tujiandae kama upinzani kurekebisha taifa lipate maendeleo. Ssa mwenzetu unaleta ubishoo wa mara CDM, NCCR - yote ya nini? Mwache Zito ahangaike na yanayojiri katika taifa, tusianze chokochoko zisizo lazima!
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kukaa kwenye keyboard baada ya kuvuta bangi kunaweza kukutuma ukaandika lolote bila hata kufikiria. Pole sana sana.
   
 6. S

  SOBIBOR Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe unawaza kuongoza tu chama kwani ukiwa mwanachama mwaminifu utapungukiwa na nini?
   
 7. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  we si uende mwenyewe?uyu anakuhusuje?
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wacheni kiherehere ! Hapa hapana kazi za kitoto ,hii ni issue ambayo karibu mtaipata na nimejaribu kuwadokolea kidogo tu mnaanza kupapasa,huku mitaani NCCR imeanza kufuka moshi na mikakati ni mikubwa kitaifa.Chadema kaeni chonjo saa mbaya. One day Yes by Aboud Jumbe.
  Imepita CUF hakuna la maana ,imeambiwa Chama cha kidini ,imefika CDM imeambiwa na inaonekana Chama Cha walokole ,sasa ni zamu ya NCCR na list ya wapiganaji kuing'oa CCM inazidi kushamiri ,we wacha tu.
   
 9. k

  kiche JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Itakuwa heri kwani huyu jamaa amekaa kimtego zaidi huko chadema,ni bomu tu ambalo limeshikiliwa kwa taadhari,au ni sawa na risasi ambayo imekaa karibu na moyo.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Angalau sasa Jamii Forums kumeanza kuwa na watu wenye kuona mbali hususana katika siasa za Tanzania. Mimi nawashangaa sana Watanzania wanaomuona SLAA kama mungu wao, wakati ana historia chafu sana katika suala zima la siasa na hata katika maisha binafsi. Hatufahamu mpaka leo kwa nini aliacha kuwa mtumishi wa mungu na kujihusisha na masuala ya siasa. Alijiunga na siasa baada ya kushindwa kura za maoni akiwa CCM kule karatu, ana tofauti gani na akia Shibuda, Mpendazoe na wengine wa aina hiyo? mbona wao hawafagiliwi hivyo kama issue ni kuhama CCM? Mpaka leo hakuna ajuae mstakabali wa ndoa yake na Rosmary Kamili baada ya kupata kimwana Josephine. Slaa ni mpaykaji sana na tena wazi wazi anakuwa anonesha kuwa ana wivu wa kutaka kulipiza visasi pale anapokosa kitu fulani. Mimi nadhani CDMA chini na MBOWE na SLAA si chochote zaidi utawala wa mabavu na majigambo majukwaani, Kukashfu na kukebehi juhudi za serikali za kuwaletea wananchi maendeleo jambo ambalo kwa kweli ni chanzo cha maisha duni kwa watanzania na kwa bahati mbaya watanzania hawajalishtukia hilo. Zitto kuendelea kuwepo pale CDM ni kama kujichimbia kaburi.
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  wasikudanganye Zitto, hapo hapo ulipo panakufaa
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  wanawaletea wananchi maendeleo kwa kujiongezea posho?

   
 13. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ivi kwenye siasa siku hizi kuna dirisha dogo la usajili?
   
 14. k

  kiche JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umejitahidi sana mkuu ila bado sana,jioni njema.
   
 15. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kafulila mmemshindwa zito mtamuweza?
   
 16. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Umejuaje kuwa sio ajuza? Kwangu mie naona huyu ni zaidi ya ajuza. Fatilia mabandiko yake humu lazima utanipiga na Like
   
 17. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Zitto analielewa suala la kafulila ,zaidi hata Hamad rashid ambae alihitajia kujiunga na NCCR akawekewa sharti la kutokugombania nafasi yeyote ile na atakubaliwa kama mwanachama wa kawaida kutokana na kashfa zilizomkabili huko CUF ila kwa Zitto mambu ni tofauti kabisa ,kuna vitu vichache kicham ndivyo vinavyowekwa sawa,hapa si pahala pake kuelezea.
   
 18. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Hata hivo plan itakuwa hivo kabla 2015 .
   
 19. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,496
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Mbona ya Slaa yanaelezeka!!??

  Ona ya Kikwete na amekuwa raisi.....
  Anachekacheka hata kisibani, mbele za wageni na kwenye mabo muhimu ya kitaifa!
  Anawapa mademu zake uongozi sifa ikiwa ni udemu waketu!! na mempa kipindi cha pili atuongoze!
  Anakinyongo mno! kiasi kwamba akini tambua hata mimi ninayeandika hapa anaweza kunisukia mada kesi..!
  Ni mnafiki mno, anaweza kukuchekea kumbe muda huohuo anasuka mpango wa kukuua!
  Aliingia madarakani kwa rushwa, alihonga waandishi wa habari, na watu wengine wengi ili awe raisi.
  Anaenda kufanaya nini magomeni asubuhi!!????
   
 20. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,496
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Sasa akienda huko baada ya miaka miwili wakajitokeza vjana wanataka kugombea nafasi yake ya uenyekiti? atakwenda kwingine? au atawafukuza chamani kama alivyofanya Mba-tia
   
Loading...