Katika kile kinachoaminika Ni DHAMBI ya ChukiUbinafsi na Fitna (Kama initials za chama husika CUF), Leo tar.13-02-2012 viongozi na wanachama Kutoka wilaya ya Temeke zaidi ya 1420wamejitoa katika...
Sikupata fursa ya kusikiliza kwa kirefu interview yake na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano mmoja huko Arusha, juu ya ushirikiano kupitia mpango wa EPA kama sikosei. Lakini...
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti...
Na Nyaronyo Kicheere - Imechapwa 01 February 2012
WIKI iliyopita niliandika makala iliyohusu mambo mawili. Jambo la kwanza lilihusu umuhimu wa barabara ya Musoma Arusha inayokatisha hifadhi...
Kuhusu katiba na mchakato wake naamini kila kiumbe alielewa serikali ya CCM na kikwete ingefanya, na wamefanya walivyo tarajiwa, kinacho sikiticha ni CDM wanavyoonekana wakitapatapa, hawakua na...
Mjadala wa leo: Tunajifunza nini kutokana na yanayojiri katika siasa za Kenya baada ya ICC kuamua kuwa Uhuru Kenyata na wenzake wana kesi ya kujibu. Karibuni
Ni Dr. Mwachayeki (kama sija sikosei).
Kwa muda mrefu Chuo cha Madini Dodoma kimekuwa katika hali mbaya ya kiuongozi na kitaaluma kiasi kwamba kusoma kwenyewe kumekuwa ni kama kuchimba madini...
"Maana halisi ya mtu aliyefaulu ni yule aliyepata daraja la kwanza mpaka la tatu, chini ya hapo amefeli. Kwa maana hii basi waliofaulu katika mtihani
wa kidato cha nne mwaka 2011 ni asilimia 9.98...
Ndugu zangu,
Nilikaa kuangalia taarifa ya habari kwenye TBC1 leo saa mbili usiku. Kwa mshangao mkubwa, nikasikia cha kwanza mtangazaji Grace Kingalame akituambia Watanzania ni; " Leo ni siku...
Nimekua ndani ya wilaya hii ya Meru kwa muda sasa nikijaribu kuangalia hali halisi ya maisha ya kila siku ya ndugu zangu Wameru lakini kuna jambo lililonishangaza na kunikera sana.
Jambo lenyewe...
Nyoni Kasimamishwa!!! what about Jairo's Story? wote wale ni makatibu wakuu!! kwa nini Pinda ashindwe kumsimamisha Jairo halafu aweze kumsimamisha Nyoni?
Hakika madaktari waliingizwa mjini...
Blandina Nyoni na Dr Deo Mtasiwa bado wapo Wizarani
Wakati tukiendelea kupokea na kung'amua vitendo mbalimbali vya ufisadi vilivyofanywa na Mapacha wawili wa Wizara ya Afya (Blandina Nyoni na Dr...
Baada ya kamanda mkuu wa Lowasa na mwanaye Fred maarufu ndani ya UVCCM kwa jina Uday (mtoto wa Saddam) kwenda na kijana wao Bashe Dodoma wakati wa bunge, kujaribu kupiga kampeni ya kumsaidia Benno...
Juzi usiku mwanamuziki maarufu na mtunzi wa nyimbo Whitney Houston amefarik dunia.
Je ni Yupi kati ya hawa unahisi ana hamu ya kwenda kwenye mazishi kuiwakilisha Afrika Masharik?
A)Museven...
Katika uchaguzi uliopita kuna watu waliweza kuingia bungeni bila matakwa ya wananchi, naomba tusisahau hili maana wabongo huwa tunasahau haraka, naanza kuaja mmojawapo
(1) Gozibert Blandes wa...
Jana nimepita maeneo ya ikwiriri nikashuhudi CUF inapiga kampeni za ubunge wa 2015.Walikuja na slogani inayosema "haki sawa",lakini baadhi yakundi fulani walikua wanatafuta maana ya hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.