Sioi Solomon Sumari kugombea Arumeru

Mtoto wa sumari amechukua form kwaajili ya kinyanganyiro arumemu.
by:RADIO FIVE
Nadhani ataingia kwenye mchakato na wagombea wengine na kupitishwa kwenye pepeto. Nadhani hawatatumia vigeo vya kuchangia chama kwa hali na mali.
 
Hata kama kutakuwa na mchakato sithani kama utakuwa wa huru na haki mana huyu bwana ni mkwe wa lowasa kwahiyo unaweza kusoma mchezo hapo
 
Kila mtu ana haki ya kuchukua fomu.
Kura za maoni ndio zitaamua mshindi,sio kama nyie kamati kuu 'ikipima'
OTIS

Mbona waenda kwa mafumbo? Funguka tu 'nyie' akina nani?
 
huyu jamaa mgonjwa alieleta hii thred naona homa yake imezidi imepanda hadi kichwani.heading na maudhui havihusiani kabisa.
 
hili sio jamvi la kahawa kama huna hoja naweza kupita tu

Wewe kuona mtu kachukua fomu na kusema ni urithi waona kuna hoja hapo?
mgombea wa ubunge kwa taratibu za chama chetu ni kupitia kura za maoni zilizowazi.
OTIS
 
Mtoto wa marehemu jeremiah solomon sumary amechukua fomu ya ugombea ubunge kwa tiketi ya ccm . Kuna uwezakano mkubwa akapitishwa kuwa mgombea wa ccm kupambana na upinzani .
 
Wewe kuona mtu kachukua fomu na kusema ni urithi waona kuna hoja hapo?
mgombea wa ubunge kwa taratibu za chama chetu ni kupitia kura za maoni zilizowazi.
OTIS

acha kukuripuka soma elewe,nimesha jibu hilo swali
 
Nimecheka kweliiii kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sisiemu kama wehuuuuu unajuaaaaaaaaaaaaaaa yaani wameshafanya kama sehemu ya familia lile jimbo nimeona na somebody sarakikya nae nimecheka sana ila walivyowapuuzi wanaweza kumpa si uanajua mzee hata kupata unaibu alimfadhili sana mzee kwenye kampeni yetu so sidhani anaweza kumwacha na jamaa siku zote za msiba nilijiulkiza mbona kavaa nguo za ccm kumbe yuko kikazzi zaidi anyway all de best
 
Back
Top Bottom